Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Bwana Yesu asifiwe,
Mimi nimegundua wanawake wengi mnaowaona/wanaoonekana wathamani ni kwa sababu wapo wanaume wanaowapa pesa nyingi bila mpangilio kuliko unazotaka kumpa wewe.
Kumbe uthamani, kujidai na ujeuri wao ni kwa sababu ya hao wanaowapa pesa ovyoovyo. Kwaiyo kumbe kama wanaume watajitambua, nao pia akili yao na kujiona kwao kutapungua. Fedha mnazotumia kuwapa wadada, ungeweza kabsa kulipa Mahari mkaishi mke&mume.
Nanyi wadada MTU anaekupa fedha bila mpangilio na hana mpango wa kukuoa, mwangalie sana, na ndo maana hata fedha zinatumika pasipo mpangilio. Kwa watu wanaopendana huwa wanapeana pesa pale mmojawapo anapokua na uhitaji LAKINI SIO SHERIA MWANAUME KUMPA PESA MDADA WAKATI MPO KWENYE MAPENZI BUBU.