Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
nauliza hili swali ili nipate kuelewa.
 
mke/mme c rafiki wala ndugu yako, bali ni adui yako mnayeshare interest na kulala naye kitanda kimoja.
ukitaka kuprove cheki wakikamatana ugoni.
 
hiyo ni sawa na kuuliza kuwa mlango ni ukuta au dirisha?

mpendwa, mke ni mke, mume ni mume, ndugu ni ndugu na rafiki ni rafiki! mpendwa, mke na mume ni "ndugu/rafiki makers" kupitia uzao wao na kamwe hawawezi kuwa ndugu au rafiki. kuwaita ndugu au tafiki ni sawa na kuwa-degrade

glory to God
 
Back
Top Bottom