Pitia hapa kijana unaeishi maisha ya kuiga

Mbassa jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
1,234
Reaction score
3,239
Sa11 Kila Siku unakurupuka kuwahi barabarani kutoka huko BONYOKWA unakoishi,ili uwahi Posta Mpya Ulikoajiriwa...

Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER,na wakakupa Mshahara wao wa 750,000 Kwa Mwezi...Baada ya Mwaka Mmoja ukajihisi UNA HADHI huna haja ya kurukia Daladala kama wengine,ukajibandika KAMKOPO KA PASSO ambako unakatwa LAKI4 Kila Mwezi na unabakiza 350,000 inayoenda Mfukoni kila Muamala Ukisoma...

Pale Chini ya Ghorofa la Ofisi unakofanya kazi yuko Kijana,Mchafu Mchafu,ANAOSHA MAGARI,na kila "MABOSI" mkifika wote mnamuachia Funguo za Magari yenu ya Mikopo Awaoshee...Mtaji wake ni KOPO LA FUNGUO,SABUNI,na MAJI anayochota kwenye Kimtaro karibu tu na mnakopaki gari zenu..

KWA SIKU anaosha MAGARI 30,ya Mabosi Nyinyi kwa Shilingi 3000 kwa Kila Gari...Anakula Wali Maharage Kibandani kwa Sh 800 tu wakati WEWE na "HADHI YAKO" unaenda kula YMCA Canteen,IFM Restaurant au KFC,ili Kulinda Hadhi ambayo Actually HUNA!

Mshahara ukitoka,wewe una 350,000 Mfukoni,ila Kijana huyu Mchafu Mchafu anayekula kwa Mahesabu,ambaye sometimes kwa kuona ANA HALI NGUMU huwa unamuachia hata CHENJI imsaidie,Anatengeneza Sh 3000x Magari 30 x Siku 30 =2,700,000(Milioni Mbili na Laki Saba Kwa Mwezi,NON TAXABLE!
Tai Kubwa,Viatu Vimeenda Upande,Mkopo wa Gari,HELA HAITOSHI,ila TITLE KUBWAAAA Ofisini unazunguka kwenye Kiti,Kila Siku una STRESS na unashangaa huyu kijana ANASMILE KILA SAA na Kukusalimu "Shkamoo Bosi" na unajiuliza Huyu Maskini Mbona Ana Raha Kila Siku na Mimi Majanga??

NANI MASKINI KATI YENU???
NANI BOSI WA KWELI???
Wake Up Brother/Sister,Find a Plan B for Your Life,Huwezi Kuwa Mjinga Milele na Ukaamua Kutulia tu...Unalipwa Laki 4 DSM Hii,HUJALA,HUJALIPA KODI,HUJANUNUA UMEME,HUJAHONGA,HUJAZUNGUSHA RAUNDI ZA BIA,na HUNA KIPATO KINGINE ZAIDI YA AJIRA lakini Unahisi UKO SAWA TU,Nenda kapimwe Utaahira!
Dear Loan Officer,You need Another Loan to Buy BRAINS!
 
mimi maisha yangu ni fake kiasi ila na fake nje
mimi ni mkulima, nikiwa shamba naishi kwa bajeti ya kujibana ili ni save, nanunua vitu average, nafanya bargain, natumia consumables zangu very economical, ulevi na luxury nyingine hapana,
na kazi nyingi za shamba najifanyia ili ku save hela ya vibarua

ila nikiwa nipo mtaani sasa, u fake wa nguvu, kwanza nguo, viatu vya kishua mbaya, unyunyu bei juu, kukitokea kazi manual (zile za kuchafua mikono) nawaita vijana wafanye kisha nawalipa, naonekana mtu smaart, wa kishua noma
ila nikiwa home..kila kitu najifanyia
 
Sa11 Kila Siku unakurupuka kuwahi barabarani kutoka huko BONYOKWA unakoishi,ili uwahi Posta Mpya Ulikoajiriwa...
Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER,na wakakupa Mshahara wao wa 750,000 Kwa Mwezi...Baada ya Mwaka Mmoja ukajihisi UNA HADHI huna haja ya kurukia Daladala kama wengine,ukajibandika KAMKOPO KA PASSO ambako unakatwa LAKI4 Kila Mwezi na unabakiza 350,000 inayoenda Mfukoni kila Muamala Ukisoma...
Pale Chini ya Ghorofa la Ofisi unakofanya kazi yuko Kijana,Mchafu Mchafu,ANAOSHA MAGARI,na kila "MABOSI" mkifika wote mnamuachia Funguo za Magari yenu ya Mikopo Awaoshee...Mtaji wake ni KOPO LA FUNGUO,SABUNI,na MAJI anayochota kwenye Kimtaro karibu tu na mnakopaki gari zenu..
KWA SIKU anaosha MAGARI 30,ya Mabosi Nyinyi kwa Shilingi 3000 kwa Kila Gari...Anakula Wali Maharage Kibandani kwa Sh 800 tu wakati WEWE na "HADHI YAKO" unaenda kula YMCA Canteen,IFM Restaurant au KFC,ili Kulinda Hadhi ambayo Actually HUNA!
Mshahara ukitoka,wewe una 350,000 Mfukoni,ila Kijana huyu Mchafu Mchafu anayekula kwa Mahesabu,ambaye sometimes kwa kuona ANA HALI NGUMU huwa unamuachia hata CHENJI imsaidie,Anatengeneza Sh 3000x Magari 30 x Siku 30 =2,700,000(Milioni Mbili na Laki Saba Kwa Mwezi,NON TAXABLE!
Tai Kubwa,Viatu Vimeenda Upande,Mkopo wa Gari,HELA HAITOSHI,ila TITLE KUBWAAAA Ofisini unazunguka kwenye Kiti,Kila Siku una STRESS na unashangaa huyu kijana ANASMILE KILA SAA na Kukusalimu "Shkamoo Bosi" na unajiuliza Huyu Maskini Mbona Ana Raha Kila Siku na Mimi Majanga??
NANI MASKINI KATI YENU???
NANI BOSI WA KWELI???
Wake Up Brother/Sister,Find a Plan B for Your Life,Huwezi Kuwa Mjinga Milele na Ukaamua Kutulia tu...Unalipwa Laki 4 DSM Hii,HUJALA,HUJALIPA KODI,HUJANUNUA UMEME,HUJAHONGA,HUJAZUNGUSHA RAUNDI ZA BIA,na HUNA KIPATO KINGINE ZAIDI YA AJIRA lakini Unahisi UKO SAWA TU,Nenda kapimwe Utaahira!
Dear Loan Officer,You need Another Loan to Buy BRAINS!
Ujumbe wako mzuri sana.
Ila watu wa Forever Living wakiuona lazima wautumie kwa ajili ya kujipatia pesa.

Badala ya huyo kijana muosha magari, wao wata edit na kuweka kijana muuza bidhaa za forever living, na watapata vichwa vya kutosha
 
Hesabu siku 20 per month (working days) and not 30. Wamachinga kila siku wanafukuzwa mjini infact utunzaji mazingira unazidi imarika daily...nchi za watu huwez jionea mtu anajioshea tu gari town center na maji hayo ya mtaroni et al.

Kuna ukweli flan na usemalo ingawa usikariri maisha....at tyms working in an office u get exposed to many things and different potential people. Unaweza kuwa office na humo humo uka brainstorm business ideas kibao.

Last but not least sisemi ajira ni bora sana ila work experience has much to offer.....i.e. leadership & management styles, company policies and ethics, segregation of tasks, risk assessment, fraud prevention and response policies, training and development, opportunity awareness programmes etc....vitu ambavyo vinaweza kukusaidia mbeleni ukiamua ku channel out.

So usikariri mambo kivilee, jua si kila mtu ni mjinga wengine wana target zao. Nina wanangu kibao wako job na wana shughuli zao nyingine on the side.
 
Ujumbe wako mzuri sana.
Ila watu wa Forever Living wakiuona lazima wautumie kwa ajili ya kujipatia pesa.

Badala ya huyo kijana muosha magari, wao wata edit na kuweka kijana muuza bidhaa za forever living, na watapata vichwa vya kutosha
Hahaha naona msela umempeleka mule mule ndio alipokua akielekea. Lol
 
mimi maisha yangu ni fake kiasi ila na fake nje
nijiwa home naishi kwa bajeti ya kujibana ili ni save, nanunua vitu average, nafanya bargain, natumia consumables zangu very economical, ulevi na luxury nyingine hapana
ila nikiwa natoka nje sasa, u fake wa nguvu, kwanza nguo, viatu vya kishua mbaya, unyunyu bei juu, kukitokea kazi manual (zile za kuchafua mikono) nawaita vijana wafanye kisha nawalipa, naonekana mtu smaart, wa kishua noma
ila nikiwa home..kila kitu najifanyia
Hahah umetisha mkuu,
 
Bora wew mkuu kuliko wale ambao wao wanategema mshahra tuu na ukichanganya na budget ya kuhudumia gari wengi wanajikuta wanaishi maisha ya strec sana
 
Mkuu umeelezea vizuri, ni kweli kuwa na ka shughuli pembeni inasaidia ku cover expenses tofauti tofauti. Unaweza usiguse mshahara wako kwa miaka mitatu kama alietumbuliwa leo (boss wa TIC).
Sasa kwa mfano uliolinganisha wa muosha magari na loan officer, vp hao waosha magari maisha yao yakoje huko wanapoishi? Hiyo 2.7 millions per month inafanya kitu gani? Kwanza iko too general, sio kweli kwamba kila siku ataosha magari 30 na sio kwamba ni siku 30 (maybe 20).
Lakini ushauri wako mzuri kwamba watu wasibweteke na laki kadhaa wanazolipwa. Sema mfano wako umekua too exaggerated
 
mimi maisha yangu ni fake kiasi ila na fake nje
nijiwa home naishi kwa bajeti ya kujibana ili ni save, nanunua vitu average, nafanya bargain, natumia consumables zangu very economical, ulevi na luxury nyingine hapana
ila nikiwa natoka nje sasa, u fake wa nguvu, kwanza nguo, viatu vya kishua mbaya, unyunyu bei juu, kukitokea kazi manual (zile za kuchafua mikono) nawaita vijana wafanye kisha nawalipa, naonekana mtu smaart, wa kishua noma
ila nikiwa home..kila kitu najifanyia
Maisha ya kuishi hivyo magumu sana aisee. Maisha ya kujionyesha kwa watu mabaya sana. Be yourself. Hayo maisha utayachoka siku moja, hapo sasa itabidi ukimbie mji.
 
Ujumbe wako mzuri sana.
Ila watu wa Forever Living wakiuona lazima wautumie kwa ajili ya kujipatia pesa.

Badala ya huyo kijana muosha magari, wao wata edit na kuweka kijana muuza bidhaa za forever living, na watapata vichwa vya kutosha
Hahahahaha...hao jamaa noma sana...wanapenda sana stories kama hizi ili kutuibia.
 
Aliyekwambia kuwa na Degree na GPA kali ndo kigezo cha kuwa na maisha mazuri

Mm kwa uzoefu sehemu zote nilizo ishi nmeona mitaani wenye maisha mazuri ni watu ambao hawana shule tena wamiliki wa maduka makubwa na ya jumlajumla mbona ni vijana ambao hata form 4 hawaijui
 
Hii meseji nikisema nimecompose mimi wengi watakataa.Nashangaa ilivyosambaa na mpaka inafika huku na wengine kuedit afu wananitumia mimi tena.
Are you somebody Gertrude Sanga? niliuona ujumbe huu pitia ma-group ya whatsap watu wametuma na ukiwa na ki-note cha written by getruda sanga...

Kama ni wewe then usilalamike kuona ujumbe wako upo hapa lengo sio kumtafuta alie compose, lengo ni kuwasaidia watanzania kuona tofauti aliye jiajiri na aliyeajiriwa kwanye aspect ya uingiza wa kipato,ujumbe upo jf ambapo pia ni sehemu watu wengi inawafikia maana naamini lengo, dhamira ni kuisaidia jamii wapate somo hili, pia the same kwake aliyekusaidia kuleta ujumbe huu hapa.....
 
Back
Top Bottom