Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni msichana wamiaka 32 mkazi wa Arusha, natafuta mtu ambae yuko teyari kuingia kwenye seriously relationship now, I'm in Dar for a month kama unaitaji njoo inbox.
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii ni Special Thread ya kutafuta wachumba, Marafiki Mume Bora Mke Bora Ulimwenguni kote. Mnakaribishwa bila UBAGUZI wowote. AKINA DADA MNAKARIBISHWA NAWAPA MOYO ZAIDI KUTEMBELEA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu, Wakati nikiwa kwenye nyumba ya kupanga chumba na sebule sikua nikipata wageni kabisa, ilipita miezi kabla ya kupata mgeni, wageni ninaowazungumzia ni wa kutoka kijijini kwetu...
7 Reactions
140 Replies
15K Views
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..! MIAKA YA: 1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu "NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!" MIAKA YA: 1991-1995. Walikuwa wakijibu "NIMEKUBALI lakini...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf. Kuna binti moja nilikuwa namtafuta muda mrefu kidogo. Yeye alikuwa anachomoa eti kuwa Mimi ni kaka yake. Ikabidi nimtumie Dada yangu na Mama yangu mdogo. Nimeona baada ya week mtoto...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nachukia wanaume wanapenda sana kuchezea wadogo wa watu. Wadogo zenu wakifanyiwa kama mnavotaka kufanya wadogo wa watu mtafurahi? Inakera sana.
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Yanini kuhangaika kuangalia ukubwa wa mguu, makalio na namna matiti yalivyokaa kwa mwanamke unayetaka kumuoa?Kwanini usiangalie ukubwa wa moyo wake katika kupenda na kustahimili? Usisahau kwamba...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana...
0 Reactions
82 Replies
24K Views
Nimeishi nae kama mume na mke uyu binti kwa miaka minne sasa,elimu yake ni kidato cha nne ivyo hakubahatika kuendelea na shule,ni mama wa nyumbani Mimi nimebahatika kidogo nna kadegree japo...
4 Reactions
108 Replies
9K Views
Rebeca ni binti mrembo, huwa navutiwa sana kumwangalia japo najua mimi na yeye ni levo tofauti, mimi mwanafunzi na yeye ni lecturer kwenye chuo chetu. Rebeca ni mkorofi, anapenda kujibu dry pindi...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 nafanya kazi sirari mkoa wa mara.Natafuta mchumba wa kike 18-25 wa kuoa hata kesho ila sijatahiriwa. Aliye tayari anipm.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, Haya mapenzi yasikie tu, kuna kipindi nilikuwa siamini kama nitakaa nipende tena. Hii ni baada ya kuumizwa kama miaka 8 iliyopita hivyo nikawa nipo nipo tu hata nikipata mtu nakuwa...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni ajabu, ajabu kama ambavyo wewe Rais wa JMT, Ndugu John Pombe Magufuli (JPM) huwa unashangaa, kuwepo kwa lundo la watoto wa mitaani wakati wazazi wao waliowazaa wapo na ni wazima tena wana afya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu wa maisha siku si nyingi.. Sifa zangu 1.Mrefu. 2.Maji ya kunde. 3.Mwili wa wastani. 4.Mkristo. 5.Mfanyabiashara sifa zake 1.Mrefu, 2.Maji ya kunde au...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam toka sakafuni mwa moyo wangu. Wanaume wengi wanaingia katika mahusiano na kudumu kutokana na vigezo fulani anavyokua navyo msichana husika kwa wakati husika. Inapofikia hatua ya ndoa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukitembea maeneo kadhaa ya Dar es Salaam hasa Coco Beach, Parking za Mlimani City, Sea Cliff, Airport, Sinza Mapambano na Mori hutakosa watu wakipigana miti kwenye magari hasa yenye Tinted Noah...
6 Reactions
273 Replies
65K Views
Hivi kwanini wanaume wengine munapenda mwanamke mwenye maringo, miondoko, anae jiona, anae jidai, anae jivuna, anae jisikia, nk? Inafaida gani hivi? na kwanini munapenda hivo, hayo maringo ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimeolewa kwa miaka 7 sasa,Mungu ametujalia watoto 2 kwenye ndoa yetu.ndoa yetu kwa nje inaonekana ni yenye afya njema sana, lakini kiukweli ndani kuna moto unawaka.na tatizo kubwa ni mwenzangu...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
ulishatafakari na kuwaza ukiwa mtaani, shule, au chuo mwanamke mzuri mrembo mwenye makalio makubwa huwa hawadumu kwenye mahusiano au hata wakiolewa wanaachika? hivi ni tabia zao huwa mbaya? au...
1 Reactions
41 Replies
12K Views
Natamani kukuonesha zaidi ni kiasi gani maisha yako yatakuwa yenye furaha kuanzia siku ambayo nitafunga pingu za maisha nawe. Nimepanga uione kila dakika katika maisha yako ya ndoa, kuwa ni...
11 Reactions
144 Replies
10K Views
Back
Top Bottom