Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaani nyumba yake na yangu zipo karibu sana. Nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza...
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi
-usiwe maneno mengi
-usiwe mlevi wa kuchart
-km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member
-Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
Nakumbuka zama hizo ukipata msichana kicheche unavaa kondom zaidi ya mbili, hupati raha wala nini, unavua MOJA ya juu. Unaendelea kupiga mzigo, unapunguza nyingine, hadi unajikuta umeenda dry...
Ndugu wanajamiiforum heshima kwenu wakuu. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta mke mwenye ajira yoyote inayomwingizia kipato ili nishilikiane nae kujikwamua kiuchumi, binafsi nipo...
Mapenzi ni miongoni mwa mambo makubwa yanayosumbua jamii zetu na dunia kwa ujumla,matukio mengi ya ajabu,kutisha na hata kusitaajabisha yanayotokea mengi kati ya hayo yanasababishwa na...
Natumai mko salama ndugu zangu,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo hapa arusha ila napitia kipindi kigumu sana hapa chuoni cha kukosa hata pesa ya matumizi.Maisha yameniwia magumu sana nimekopa mpaka...
Hii story ipo sana mtaani. Utasikia mtu anajisifia nimepiga shoo mpaka nimesimamia ukucha. Jaman hivi unaweza kusimamia kucha wakati wa game. Mliowahi hembu tupeni experience.
Wakuu,
Mimi ni kijana nimetokea kumpenda binti lakini binti huyu hajali kabisa hisia zangu, amekuwa rafiki yangu wa kawaida kwa takribani mwaka mmoja, lakini urafiki huo umepelekea mimi kumpenda...
Kuna watu wameumbwa duniani kwa aina ya kivyao
nasema hivi kwa kuwa nimekujja kuona kuna wakati wegine
wanapendwa wanaafanyiwa kila kitu na wenzi wao wanachoitaji
lakini wapi kila siku ugomvi...
*Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote,
maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi,
hekima na busara ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu...
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na hudumu kwenye ndoa.
Wanaume wakatili, wabakaji...
Hakuna mtu yeyote asiyekuwa na matatizo na manung'uniko, kuhusiana na maisha ya kila siku. Lakini wanawake wamezidi kunung'unika hasa walio kwenye ndoa. Ndoa ni haja ya kawaida kwa kila mwanadamu...
Wakuu salama?
Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.
Nina mke home lakini nahisi mapenzi...
Jamaa yangu nlisoma naye chuo tukiwa wote mwaka wa kwanza alikuwa room mate wangu. he was a very nice guy. mpole mtu wa maadili na asiye na makuu.alisoma seminari kuanzia shule ya msingi mpaka...
Bado sijachukua maamuzi yeyote ila mke wangu kupitia simu yake anachat sana na mwanaume mwingine. Mwanzoni nilikuwa sijagundua lakini sasa hivi nimegundua.
Nilichokifanya nili track smartphone...
Kwa wanaume ambao wapo kwenye ndoa na kila siku ugomvi ndani ya nyumba hauishi nimegundua dawa ambayo itarudisha amani na upendo ndani ya nyumba.
Ofcoz huitaji kwenda kwa waganga wala wapiga...
Ni aibu kwa mwanamke hadi unaingia kwenye ndoa umeshatembea na wanaume weengi alafu ulichoambulia ni vinguo na visimu tu uku ukisahau kua mapenzi ni mtaji
Naomba niwape ushauri
Unapokua na...
Habari wana JF,
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya...
Kuna wanaume wengi wanajikuta katika hali ambayo mwanamke hakupendi tena, lakini anashindwa kukutamkia hivyo. Utakuta mwanaume anaendelea "kujigonga" sana kwa mwanamke ambaye hampendi kiasi...
Nimetumia uzoefu wangu wa miaka kadhaa kwenye ndoa nikalitambua hili jambo, zile meseji na vikorombwezo kibao vya mapenzi huwa vinakufa. Hakuna kutumiana SMS wala nini ni mwendo wa kazi tuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.