Mahaba yakipungua hata SMS na vikorombezo vya mapenzi vinakufa

Mahaba yakipungua hata SMS na vikorombezo vya mapenzi vinakufa

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,067
Nimetumia uzoefu wangu wa miaka kadhaa kwenye ndoa nikalitambua hili jambo, zile meseji na vikorombwezo kibao vya mapenzi huwa vinakufa. Hakuna kutumiana SMS wala nini ni mwendo wa kazi tuu, ukifanikiwa kutuma SMS labda uwe umesafiri kidogo.
 
Nimetumia uzoefu wangu wa miaka kadhaa kwenye ndoa nikalitambua hili jambo, zele meseji na vikorombwezo kibao vya mapenzi huwa vinakufa.
Hakuna kutumiana msg wala nini ni mwendo wa kazi tuu, ukifanikiwa kutuma msg labda uwe umesafiri kidogo.
Watu huwa wanajisahau
 
Tukishoana tuna focus kulea familia sasa unafikiri zile Dekezo za ujana zitakuwa kama zaman Mapenz matamu ni kabla hujaoa au kuolewa
 
NDIO MAANA MIMI DEMU WANGU KILA AKINIULIZA
"Engineer wangu... Unakuja lini kunichumbia home "
Nampiga kalenda tuu... Huku naendelea kubanjua taratiiibu....

Tatizo napomuandaa analoana sana...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
  • Thanks
Reactions: lup
NDIO MAANA MIMI DEMU WANGU KILA AKINIULIZA
"Engineer wangu... Unakuja lini kunichumbia home "
Nampiga kalenda tuu... Huku naendelea kubanjua taratiiibu....

Tatizo napomuandaa analoana sana...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Makubwaa haya
 
na hiyo kuloana umeisema sana aisee
 
Sio mahaba yanayopungua mkuu, hela ikipungua na mahaba hupungua hivi vitu huenda sambamba
 
Utasikia, habari za asubuhi J, poa.

Ndio nitolee hiyo hadi mmoja akijisikia, shikamoo mapenzi.
 
Back
Top Bottom