Five facts about love

Invigilator

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
3,207
5,990
Mapenzi ni miongoni mwa mambo makubwa yanayosumbua jamii zetu na dunia kwa ujumla,matukio mengi ya ajabu,kutisha na hata kusitaajabisha yanayotokea mengi kati ya hayo yanasababishwa na MAPENZI,watu wanachinja familia sababu ya MAPENZI,magonjwa mbalimbali(STDs),vilema vya maisha,ubakaji,kufilisika,kupoteza heshima,kufukuzwa kazi,vifungo magerezani ,yote haya na mengine meng mzizi wake mkuu MAPENZI.

Watu wengi maarufu,matajiri,viongozi wakuu,majemedari,na watu wa kawaida pia wamewahi kulizwa/kuumizwa na MAPENZI,mfano NELSON MANDELA.

Wenye hekima pia waliwahi kuandika/kusema kuhusu hili jambo.Mwanafalisafa wa kigriki(aliyeishi karne ya 5 BC)Socrates aliwahi kusema"IF YOU WANT TO ENJOY IN THIS WORLD FIND A WIFE,IF YOU GET A GOOD WIFE YOU WILL ENJOY IT BUT IF YOU GET A BAD WIFE YOU WILL BECOME A PHILOSOPHER"

Pia mwanafalsafa mwingine aliwahi kusema,"NO LIFE WITHOUT WIFE,BUT A WIFE CAN BE A KNIFE TO CUT YOUR LIFE"

Mwanamziki maarufu duniani wa mziki wa reggae Bob Marley aliwahi pia kuimba "NO WOMAN NO CRY"

Swali dogo la kujiuliza kwanin yote haya yanatokea?kuna sehemu tutakuwa tumekosea JINSI GANI MTU ANAWEZA KUYACONTROL MAPENZ bila kuumia,mambo yafuatayo yanaweza kufanyika,

1:HAKUNA KITU KINACHOITWA "MAPENZI"DUNIANI,hii imaanisha kuwa mapenzi ni "dhana(theory) tu ambayo inatengenezwa na MTU mwenyewe,hakuna MTU nayewez kuonyesha umbo la upendo(morphological representation),kwahiyo "love is an abstract item,(it does not exist),Hakuna haja ya KUPENDA

2.NGONO(SEX) NI KITU HALISI KULIKO MAPENZI(LOVE).Mwanadamu anahaja ya kufanya SEX maana ni sehemu ya hitaj la mwili wake na ni kitu halisia kinachoonekan(concrete) so ni ruksa kufanya SEX kama kutimiza haja ya mwili, Tatizo kubwa leo linalosumbua baada ya SEX unataka MTU anataka apende hilo ni kosa KUBWA,(Fanya uchunguz watu wanaotembea na MADADA POA)hawana STRESS za mahusiano ukilinganisha na WENYE PERMANENT PARTNERS au WALIO KWENYE NDOA,kwanin? Wao hufanya SEX tu na kuondoka,HAWAPENDI.Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "SEX IS REAL & CONCRETE BUT LOVE IS ABSTRACT"

HAKUNA MWANAMKE MZURI DUNIANI,uzuri ni dhana tu,huwezi kusema Mwanamke/msichana fulan ni mzuri bila kufanya ULINGANIFU kwa mwingine,amin usiamin wewe unayemuona Mzuri mwenzio humuona mbaya,hapa namaanisha(BEAUTIFULNESS IS IN THE EYES OF BEHOLDER),Hata vitabu vitakatifu vinashuhudia hili "MITHALI 31:30,"Upendeleo hudanganya,UZURI NI BATILI,bali mwanamke anayemcha Bwana ndiye atakayesifiwa"Pia LUCKY CRACKENT aliandika
"Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni wazuri,ila tunawaona wazuri sabab tunawapenda"my take ,WAONE WANAWAKE WOTE WA KAWAIDA TU/UKIWAPENDA UTAWAONA WAZURI NA NDIO MWANZO WA KUUMIA.

4:UBINAFSI(INDIVIDUALISM),mapenzi yanawaumiza watu sababu ya UBINAFSI,ubinafsi hujenga WIVU,hutataka kumuona MPENZI WAKO na watu wengine sababu ya wivu,unaumia unashindwa kula,kulala,kufanya mambo yako kwa ufanisi sababu ya WIVU,wivu unaletwa na UBINAFSI wa kutaka awe wako tu,tupa mbali hiyo roho MUACHE AWE WETU WOTE(EQUAL SHARING)Hutakaa Uumie!!..

5:MFANYE M.MUNGU KUWA BORA KULIKO CHOCHOTE,mtangulize mbele kuliko mke wako, kuliko mpenzi wako hutapata SHIDA,acha kuwafanya watu kuwa FIRST PRIORITY maishani mwako,siku akikugeuka kidogo UTAKUFA,M.MUNGU HAWEZI KUKUGEUKA HATA SIKU MOJA,CONCLUSIVELY,NI MUNGU PEKEE NDIYE UNAEWEZA KU DEVELOP THEORY YA LOVE KWAKE,
1473935227630.jpg
1473935237192.jpg

UKIZINGATIA HAYA HUTAKAA UUMIZWE NA MAPENZI
AHSANTENI,NA KARIBUNI KWA CHOCHOTE,
DUKESON.
 
Yaani ndo maana sijawahi amini kama kuna MAPENZI, mtu akiniambia ananipenda huwa najua fika anataka tu SEX wala hana jipya
 
wewe hisia za mapenzi ni Kali na inanguvu balaa huwez kuwashawishi
 
T makes sense at some point BUT amri kuu nawaachieni ni "upendo" pendaneni ninyi kwa ninyi..mpende jirani yakoo kama nafsi yako..hayo yote ni maagizo ya M.Mungu, unatuambiaje mtoa mada
 
Sasa na wale wanaosema wanapenda huwa inakuwa nini hiyo? Is it
a mere admiration on somebody?. Hebu tuwekane sawa wakuu
 
Back
Top Bottom