Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu...
Nimekua nikifatilia visa kibao vya mapenzi kwa mda mrefu na hiko ndicho nilichokigundua.
Unaweza kumdharau/kumchukulie poa/easy mwanaume au mwanamke lakini amini usiamini mwisho wa siku anaweza...
Habari,
ni ivi tukubali tukatae,wanawake wengi tena kwa asilimia kubwa hawafiki mwisho wakiwa wanaduu na wapenz wao.kuekti kwingi ili kuwafurahisha wenzao au ili mwanaume akojoe haraka kwa sababu...
Nimewaza sana katika dunia hii ya leo na sula la mahusiano.Kuna jamii moja hapa duniani maeneo ya Alaska USA na pia Siberia wanafahamika kama Waeskimo. Hawa ni wenyeji wa maeneo hayo sehemu zenye...
Hoja yangu inawalenga wadada wa umri flani hivi ambao mara nyingi unakuta hawajaolewa ,wamama watu wazima hawapo kwenye kundi hili.
Kutokana na kautafiti kadogo niliko kafanya nimekuja kugundua...
Habari wakuu
Bila kupoteza mda nimekaa na kufikiria namna mapenz ya wasichana na watu wazima yanavyoshika kasi nikawaza hivi ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua wako?
Ulipata reaction gani...
Hi!
Wadada wengi huogopa kuolewa na wanaume wa kikurya kwa kuhofia kichapo.Ila ukweli ni kwamba kwa sasa wakurya wengi wamesoma sana na wengi wao wanamjua Mungu hivyo wanajua kumhandle mke na...
Wakuu heshima kwenu!
Imekuwa mda sijapost kitu chochote hapa MMU sasa leo nipo na mda nimeona nianzishe thread tuelezane tuliyojifunza kwenye hili jukwaa letu pendwa toka mwaka 2016 umeanza...
Usiyoyajua kuhusu wanawake!!
"A lot about Women "
1. KUHUSU TAMAA ZAO.
-Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa Mama yako.
2. KUHUSU HULKA ZAO.
-Wanawake wote huonesha upendo wao...
Mabwana na mabibi bila shaka mko poa muda huu, wenye uchovu wa pilikapilika poleni na hongereni pia.
Katika hoja yetu ya leo nitakua na mwanakaka huyu aliekuja mjini na gari ya mkaa na nitapenda...
Binadamu bana!
Watu wakiwa kwenye lindi la mapenzi huwa wanaonana wazuri sana.
Unakuta labda mdada anamsifia sana jamaa alivyo mzuri.
Anakuwa na majigambo ya hapa na pale. Kwamba hataki wadada...
MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA: ndio nimepanga kabatini.
Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV...
Wasichana wa kazi ni watu muhimu sana kwenye zama hizi ambapo mume na mke wote hujikuta wanafanya kazi ili kupata kipato cha kuendesha familia. Hata hivyo baadhi ya ndoa...
Wapendwa nisaidieni jamani maana mi nasema ukweli, natamani nisaidiwe ili nipone kwenye hili linalonisumbua.
Kiukweli sipendi kuchepuka, ila napenda sana maisha flani ambayo bila mchepuko siwezi...
Jestina ni binti wa miaka 28, alisoma na kumaliza masomo yake vizuri.na anakazi ajira ya serikalini. Katika hangaika za maisha alishakuwa na mahusiano na vijana kama wanne katika muda tofauti...
MKE NA MCHEPUKO.
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.
Tv ni bure...
Je, unataka kujua kama mumeo anaifurahia ndoa yenu? Famasia ya Ndoa Maridhawa imekuandalia orodha hii ili uangalie namna unavyoweza kuamiliana vizuri na mumeo. Kisha usiache kuwa mwenye kushukuru...
Wapendwa naomba tuliangazie hili swala kwa undani, kuna watu wanafiwa na wenza wao wakiwa bado wabichi, yaani wadogo kiumri na wanakuwa na nafasi ya kuoa au kuolewa tena.
Ni muda gani unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.