vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,500
Wakuu,
Mimi ni kijana nimetokea kumpenda binti lakini binti huyu hajali kabisa hisia zangu, amekuwa rafiki yangu wa kawaida kwa takribani mwaka mmoja, lakini urafiki huo umepelekea mimi kumpenda lakini cha ajabu kila nikimwambia kua nampenda haonyeshi responce kabisa.
Nikichati nae mambo mengine anarespond lakini nikiingiza mada ya mapenzi hajibu tena meseji nichati nae mambo ya kawaida tunachati vzuri tu lakini nikimwambia kua nampenda anaacha kuchati kabisa.
Anajua kabisa kuwa nampenda lakini hajawai kunitamkia lolote kama anakubali au anakataaa nikimuomba aje tuongee tukiwa wawili tu chenga zinakua nyingi lakini tukiwa wengi tunaongea tena na kufurahi.
Sasa sijaelewa nitumie mbinu gani mimi?