Mke wangu anachat sana na mwanaume mwingine

Mke wangu anachat sana na mwanaume mwingine

Ukback255

Senior Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
174
Reaction score
278
Bado sijachukua maamuzi yeyote ila mke wangu kupitia simu yake anachat sana na mwanaume mwingine. Mwanzoni nilikuwa sijagundua lakini sasa hivi nimegundua.

Nilichokifanya nili track smartphone yake na kuwa nafanya udakuzi kwenye email zake na message za WhatsApp nimegundua ananisaliti sana, yupo na mwanaume mwingine ingawa tunakaa naye mbali.

Je nifanyeje niendelee kusubiri au niachane naye?
 
Bado sijachukua maamuzi yeyote ila mke wangu kupitia simu yake anachart sana na mwanaume mwingine mwanzoni nilikuwa sijagundua lakini sasa hivi nimegundua.

Nilichokifanya nili track smartphone yake na kuwa nafanya udakuzi kwenye email zake na mesege what up nimegundua ananisaliti Sana yupo na mwanaume mwingine ingawa tunakaa naye mbali.

Je nifanyeje niendelee kusubiri au niachane naye?
na wewe anza kuchart na wanawake wengine kwa kasi bila siri atajileta tu
 
Bado sijachukua maamuzi yeyote ila mke wangu kupitia simu yake anachart sana na mwanaume mwingine mwanzoni nilikuwa sijagundua lakini sasa hivi nimegundua.

Nilichokifanya nili track smartphone yake na kuwa nafanya udakuzi kwenye email zake na mesege what up nimegundua ananisaliti Sana yupo na mwanaume mwingine ingawa tunakaa naye mbali.

Je nifanyeje niendelee kusubiri au niachane naye?
Kumradhi mkuu, Mpe WARNING (tafadhali onyo 2 ya tatu) kali.. baada ya hapo amua lakufanya!! maana yawezekana mmetoka mbali na mna watoto !!!
 
Mimi huwa naamini kuwa hakuna mambo yanayofanyika au maamuzi pasi na sababu........

Kuna kila dalili kuwa kuna sehemu ya wajibu wako kwenye ndoa ambalo umesahau kulitimiza au ulikuwa unalipuuzia......,,
Mimi kwa uelewa wangu ni kuwa jichunguze kwanza wewe.....inawezekana wewe ukawa ndio chanzo cha mkeo kukusaliti.......

Alafu haya masuala huwa hayataki maamuzi ya papara wala pupa....hasa ukizingatia kuwa huyo ni mkeo wa ndoa.....,
 
Duu pole sana. Wanaume huwa hampendi kuchat na wake zenu...hampendi kuwasifia, huko nje kuna mijitu iko tayari kuchat na kusifia kwa kiasi cha hatari...ndo pale ukaribu unapoanza mwishowe usaliti...na utakuta huyo bwana ni mme wa mtu...na yeye mke wake anachat na mwingine na usikute hata wewe unachati na mwanamke mwingine. Ongea naye muonye ili kuponya ndoa yenu. Sio kila siku mwanamke mpu.mb.vu unamwacha avunje ndoa...wewe kama kiongozi umechukua hatua gani kuokoa ndoa yenu??? Kuwa kichwa kweli usiwe kichwa maji..
 
Maadam umegundua anachokifanya.....Unaweza anza kumohoji juu ya uaminifu wake juu yako bila shaka ataruka sana kuwa hajawai kukusaliti na haitakaa itokee....Then mpe standing point yako tu kuwa please aache mara moja kama yuko na mchezo huo maana ukijakugundua itakuwa mbaya sana baina yenu ...Na kumuweka dilema unamwambia kuwa umepata fununu kuwa mienendo yake si mizuri na unaendelea kufuatilia ili upate ukweli ila kama kuna tabia ameanza aache mara moja kabla hujagundua....Kama niwakujirekebisha utaona maana umetrack mawasiliano yake ila kama anamalengo na wewe ataacha mara moja....Hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili tu maana wengi wao wanatabia zakufanana sana hata ukimuacha huyo utakuja pata pasua kichwa mwingine so heri huyo mliozoeana unaweza kumrudisha kwenye line na akarudi namaisha yakaendelea...
 
Sijawahi kuona mwanaume wa hovyohovyo kama wewe aiseeee......[emoji16] [emoji16] [emoji16], Yaani unao ushahidi wa kutosha na kisha unakuja hapa kuomba ushairi wa kujenga ama kubomoa........[emoji15] [emoji15]
Hapo tayari umesha onyesha jinsi ulivyo yogoyogo kwenye mahusiano yako na mkeo.
Ebu niishie hapa aiseeee, maana najiskia kupatwa na jazba tu.
 
Back
Top Bottom