Vijana wengi wanatamani kuoa na wasichana wengi wanatamani kuolewa. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaojiandaa kuoa na hivyo niko katika kipindi cha kuyatafakari maisha ya ndoa.
Jambo moja ambalo...
Mimi ni kijana wa miaka 25 urefu1.8 meter na ni maji ya kunde pia ni mwajiriwa serikalini, natafuta mke wa kuanza nae maisha mwenye umri kati ya miaka 20-25, dini yoyote ile awe mzuri wa kuvutia...
Binadamu ndivyo walivyo, pale unaposema nampenda sana mwenzangu na ukamwonyesha mapenzi mazito mazito ndipo atakapokutenda bila kujali maumivu utakayoyapata. Hali hii inaweza kumtokea mtu bila...
Nawasabahi wanajf wote!
Sina shaka mnaendelea vyema kama sivyo pole, chukulia ni kawaida kwa maisha ya wanadamu hapa dunia.Turudi kwenye mada, katika kutafuta wenza wengi tumekuwa na preference...
Mimi nipende kuwauliza maswali haya machache
1.Mnapata raha gani?
2.Hamjui ya kuwa ni sehemu ya kutolea uchafu
3.Hivi mnapofanya hivyo si ni sawa na kula kinyesi cha huyo mwenzio?
4.Hiyo tendo...
Anaomba msaada wenu!
**********************
He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do...
Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakini sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mimi sitaki serious relationship lakini after...
Wakuu salaam kwenu,
Hizi ni miongoni mwa tabia ambazo zimekuwa zikiendekezwa na baadhi ya wanaume.
1: Mwanaume unahonga hela kwa mbwembwe zote hili uonekane kidume tena wengine utakuta binti...
NI NJEMA KWAKO ISOME
Katika maisha hakuna jambo gumu kama kusamehe na hakuna kitu chenye faida kama kusamehe. Kuna watu katika maisha wapo ili tuumie na TUJIFUNZE. Wengine wapo ili tukisha umia...
DONGO............
Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubali kuwa mwanamke wa daraja la pili, na siku zote mtu wa daraja la pili ni wa chini ukilinganisha na daraja...
Kama tujuavyo Mwanaume aliye ' rijali ' kabisa kutongoza au kumtongoza Mwanamke yoyote yule apitaye mbele yake ni ' sunna ' na si kitu cha kushangaa au kuanza kujiuliza maswali mengi na ukiona...
Mwanamke (mke) tambua wajibu wako na nafasi yako ndani ya nyumba ili kuepusha migogoro isiyo na maana. Iko hivi, mwanamke (mke) ni msaidizi wa mwanaume (mume) pia ndo mshauri mkuu wa mume.
Mume...
Mimi kuna siku nilikua zangu katika kibarua cha wiki mbili ndo hapo job sasa alitokea mwanamke akawa anakuja kuwasalimia majirani zake kila siku na mimi pia alikua ananisalimia, sasa katika kupiga...
Anjelina Jolie sasa kimemtema na kuvuta mwingine, jamaa mpya nasikia alikuwa anakula Anjelina Jolie tangu miezi 6 iliyopita, sasa nimeamini nilichokuwa naamini siku zote kama Demu akikutema halafu...
Eti hakuna awali mbaya. Nimekaa na mwanamke miaka 12. Nilimuacha mwaka juzi kwa sababu alinipakazia mtoto si wangu. Sasa anataka turudiane akidai hakuna awali mbaya.
Niko njia panda.
Habari za Leo Waungwana!
Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4...
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND
Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja...
Wataalamu nchini Ufaransa wamesema kwamba, hatimaye wamebaini, sehemu ya ubongo inayowapeleka watu puta wanapompenda mtu kimapenzi na kuwa kama vichaa. Wamesema eneo la ubongo linalofahamika kama...
Wakuu,kuna kautafiti nimekafanya kisiri siri kujua mikoa yenye wanawake wanaojua kukarangiza misosi,na haya ndio majibu ya utafiti wangu
1.Tanga
2.Zanzibar
3.Tabora
4.Dar
5.Pwani
6.Singida
7.Morogoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.