Ushauri: Napenda kutoka na walionizidi umri

Dindilimunyo

Senior Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
108
Reaction score
206
Wakuu salama?

Jamani mwenzenu kidogo nina tatizo napenda kutoka kimapenzi na wamama na watu walio nizidi. Saa mbaya zaidi ni kwamba naona kama inaniathiri.

Nina mke home lakini nahisi mapenzi yapo kwa mtu mkubwa kiumri kabisa. Imefikia mpaka wife nahisi anagundua.

Nimejitahidi kuacha lakini wapi? Nahisi na enjoy mapenzi [HASHTAG]#GAME[/HASHTAG] kwa mtu alie nizidi umri sana. Najitahidi kujitoa nashindwa.

Naomba msaada wa mawazo
 
Mikosi mitupu
 
Kiki na wateja ngoja yaje majimama mario jiandae
 
Vijana tafuteni Pesa msilete story za kizembe humu jukwaani. Mnapenda mitelemko. Mabinti na ma sister do ni gharama. Ndoo mnaponea kwa wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia.
 
Kwa utafiti wa ghafla, inaonekana wale wanawake wenye umri mkubwa wanakua free na Mr, cha msingi fuata maamuzi yako, yatakupatia kile moyo unataka.
 
Back
Top Bottom