Kwema wapendwa?
Wakuu,
Nina majanga na ninaomba kupewa ushauri wa kuyamaliza kidiplomasia pasipokuleta maafa. Kuna kabinti niko nako muda mrefu tu kama miaka minne hvi na kamemalza chuo mwaka...
Siku mmoja nikiwa Dar maisha yamekuwa magumu sana coz biashara za madili zilikuwa zimekatika, ikapigwa simu kwa jirani. Wakati huo hakukuwa na simu za mkonini. Aliyepiga simu alikuwa ananiulizia...
Habari waheshimiwa wa nji hii.
Nimepata kusikia mazungumzo ya baadhi ya wazee maana kusema kweli wazee ni sehemu ya kampani yangu kubwa nikiwa sehemu za mapumziko. Ukiachia mambo mengne najifunza...
Mi nilikua nampenda sana msichana anaitwa Given alikua yupo mbali sana katika mwitiko wake, baadae nika kata tamaa ya kumfuatilia, nikaanza kwa msichana mwingine anaitwa Bestina, wakati mambo yana...
Wanawake wengi(sio wote) wa Kiafrika hawana bahati katika maisha ya mapenzi hasa wale waliojaaliwa uzuri na mvuto moja ya sababu ni wao kushindwa kujua tofauti kati ya mwanaume anayemtaka na...
habari za usiku wakuu..!
kwa haraka haraka naomba tujaribu kuangalia njia bora za kushughulikia tabia au mwenendo wa mpenzi wako ambao haukuridhishi
1. onyesha unajua, lakini haujali mfano...
Hii nimeikuta mahali nikaona si mbaya nikishea humu mana kila mmoja wetu anahitaji mahusiano yake yanoge
DONDOO KUMI KWA WANAUME ILI KUTENGENEZA MAHUSIANO YENYE AFYA.
1. Usijisahau katika...
huyu dada nafanya nae ofisini.
huwa tunamazoea ya kupiga story mbili tatu wkat wa kazi na ni ya kawaida na hajawahi kunionyesha hisia zozote za mapenzi.
hajaolewa,ni mtu wa makamo around...
[emoji172][emoji179]TULIA MOYO[emoji172][emoji179]
Subira yangu imashakani kwa kukosa maskani
Moyo utaabani kwa kukosa tulizo la ndani
Vizuri navitamani eti kisa mimi maskini
Tulia Moyo tulia...
Kama mada hapo juu,
Kuna kitu nimefikiri sana kuhusu kuwa wapenzi kuna faida gani hasa za kimaendeleo ukilinganisha na mtu aliyeoa mtu ambaye ni mpenzi sio rahisi kukuambia honey unaonaje kama...
Anasimulia komredi fake ID
Tulizaliwa wawili Mimi na Dada yangu Rose....
wakati Fulani mama alipata kunisimulia kuwa walikuwepo ndugu zetu katika ukoo wetu ambao walikufa na tukabaki sisi na...
(Nukuu)
"Rafiki nina msichana wangu niko nae kama miezi minne hivi imekata ila ananishangaza kila tukikutana kwenye mgegedo papuchi yake inakuwa haina hata vuz** na mimi ukweli huwa napenda sana...
Ni hivi kwa uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua wanawake wengi wenye elimu kuanzi first degree huwa wanapata tabu sana kupata watoto,hususani kushika mimba.Wengi wao huwa hawapati kabisa mimba...
Kisa cha Mfalme na Maskini
Mimi: Hadithi! hadithi!
Helena: Hadisi njoo, uongo ndoo, tamkolea (ndivyo ambavyo binti yangu Hellena hutamka)
Mimi:
Hapo zamani za kale mwanangu, zamani hizo...
Habari ya wakati huu wakuu.
Kina dada haiwezekani nyumbani kwenu au kwako ufurahie jogoo mmoja au uone ni sawa jogoo mmoja kua na majike(maetea 10) katika banda lake au dume moja la ng'ombe kua...
Utafiti ni kutoka kwenye gazeti la Mwananchi
Wanapokutana wanaume wanne huzungumzia mpira na wanapokutana wanawake wanne huzungumzia wanaume
Sijui huu utafiti una ukweli kiasi gani.
Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaani nyumba yake na yangu zipo karibu sana. Nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza...
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi
-usiwe maneno mengi
-usiwe mlevi wa kuchart
-km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member
-Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.