Natafuta mke mwenye ajiraa japo mi sina ajira.

ngoshaboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
231
Reaction score
197
Ndugu wanajamiiforum heshima kwenu wakuu. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta mke mwenye ajira yoyote inayomwingizia kipato ili nishilikiane nae kujikwamua kiuchumi, binafsi nipo hapa mjini huu ni mwaka wa nne na kazi zangu mala nyingi huwa nafanya marketing kwa partime kampuni mbalimbali japo si kazi za kudumu pia.
Pamoja na kufanya kazi hizo kwa mda huo sijajaliwa kupata mke japo sababu sijajua vyema lakini wakati mwingine nahisi huenda ni kwa sababu ya kukosa ajira ya uhakika, nisipende kuwachosha sana na maelezo malefu niishie kulenga mada yangu ningefarijika kupata mke sasa wa kuishi nae japo aweze kunipa tafu ya maisha napenda sana ufugaji na kilimo cha biashara hivyo twaweza anzisha mladi huo naomba kuwasilisha japo matusi na kebehi sipendi kwa mtakaochangia uzi huu.
Nb vigezo awe na umri usiozidi miaka 28 elimu yangu ni form4
 
Mkuu unatafuta kitonga, hongera bana huo nao ni ubunifu
 
Asee hawatakagi story hizo kabisa umekosea
 
Daaaaah .......we unatakiwa utetemeke ufanye kazi
.....
 
Omba Mungu atakupatia make mwema. Usitafute mke mwenye ajira. Delila akikuzidi kipato Mara nyingi anasumbua. Tafuta hata goalkeeper uanze naye taratibu. Utatoka tu.
 
Wewe sema tu unatafuta Mwanamke wa kukuoa uwe Mario.!
 
Yaani pesa huna alafu bado unaweka mashariti ya umri hapa?? Km unataka kulelewa tafuta shuga mami, wanye umri huo unaotaja tuachie sisi wenye pesa zatu. Kuwa wazi km unataka mtu wa kukusaidia maisha au mke?
 
Ndugu wanajamiiforum heshima kwenu wakuu. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta mke mwenye ajira yoyote inayomwingizia kipato ili nishilikiane nae kujikwamua kiuchumi, binafsi nipo hapa mjini huu ni mwaka wa nne na kazi zangu mala nyingi huwa nafanya marketing kwa partime kampuni mbalimbali japo si kazi za kudumu pia.
Pamoja na kufanya kazi hizo kwa mda huo sijajaliwa kupata mke japo sababu sijajua vyema lakini wakati mwingine nahisi huenda ni kwa sababu ya kukosa ajira ya uhakika, nisipende kuwachosha sana na maelezo malefu niishie kulenga mada yangu ningefarijika kupata mke sasa wa kuishi nae japo aweze kunipa tafu ya maisha napenda sana ufugaji na kilimo cha biashara hivyo twaweza anzisha mladi huo naomba kuwasilisha japo matusi na kebehi sipendi kwa mtakaochangia uzi huu.
Nb vigezo awe na umri usiozidi miaka 28 elimu yangu ni form4
mkuu hawa wa uku wafilisi watakunyang'anya hadi suruali unayotembelea na kukuzidishia stresd! chamsingi ondoa wazo la kuwa kwavile huna ajira hutopata mtu la hasha! usiwaogope wadada ee watongoze katia 10 wapo 6 watakubeza na 3 watakukubalia ili wakupole hata huo mtaji ulionao na 1 ndie atakae ridhia hali uliyo nayo na ndio mkeo halali. kikubwa usiwatake wadada wenye pesa zao anza na level yako.
 
Ukipata mwanamke wa hivyo kwa wakati huu wa 'Tanzania ya viwanda' piga goti sali kwa Mungu wako kuwa Ahsante Mungu nimepata mke mwema.
 
Ungelikuwa Canada ungejipatia limama fasta./ yapo Manama mengi ajabu sana./
 
Njoo South Africa upate jimama likulee maana asa hivi uncle Magu alivobana vijana suluali mtaolewa tu.
 
omba kwa Mungu wako kijana akupatie Mke mwema na siyo kutafuta Mke mwenye kazi....acha kulegea kaza kijana..
 
Back
Top Bottom