Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usingizi sipati![emoji15] Usiku kucha naishia kuangalia bati![emoji30] Na hata chakula hakipiti![emoji24]
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Habari za usiku wapendwa? Nianzie kwa kusema namshukuru Mwenyezi Mungu kwa mtihani alionipa jana usiku na kuweza kuutatua kwa usalama. Nianzie hapa, yapata miezi minne sasa nipo kwenye uhusiano...
0 Reactions
113 Replies
15K Views
Hapa mtaani kwetu kuna binti nimetokea ku mpenda sana na ni mzur kiasi ila nimejaribu kila njia kumshawishi lakini amengangania tu luwa ana mtu japo amekuwa namuona na kuhusu mahusiano yake sija...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1.Lie 2.Be Honest 3.Not Talking To Them 4.Talking Too much To Them 5.Not Showing Any Emotional 6.Being Too Emotional 7.Breathing Wanawake Sijui Mpendweje Sasa
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii kisa kimetokea juzi katika mtaa mmoja ambapo jamaa alimchinja mwenzake kama kuku kwa sababu tu alihisi kuwa jamaa anatembea na demu wake. Hivi unaanzaje kuua mtu kwa sababu tu ya demu ni...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa Maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde,furaha na huzuni,utajiri na umaskini ndani yake Kila Binadamu kwa wakati wake alishapitia au anapitia changamoto...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna msichana nimetokea kumpenda yani kumpenda kweli kweli sio utani, kama ni kuteka hisia basi yeye kateka asilimia 80 ya hisia zangu na nilipanga awe wangu wa maisha, dada huyu nasoma...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
habari zenu? naombeni ushauri ndugu zangu, nmeolewa nina miezi mi5..kabla sijakutana na mume wangu nilikuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa mda wa miak mi2..ndo alikuwamwanaume wangu wa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
[emoji178]CHAI YA FIKRA NA MAHABA [emoji178] Ni ipo hiyo chai ya Mahaba?? [emoji178]Nikiongelea chai ya Mahaba usije ukasema unaenda kuipika sasa hivi tena ukajiuliza yatiwa tangawizi ...
2 Reactions
33 Replies
28K Views
salaam wakuu.. Ipo hivi, tangu niumizwe katika mahusiano nimekuwa mtu wa tofauti kidogo kwani nimewachukulia wanawake kama watu wasiokuwa na msimamo hasa linapokuja suala na mahusiano sasa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Niko serious, haya maisha bila kuwa na mwenza hayaendi kabisa. Umri wangu ni 30yrs Elimu ni Bachelor degree Rangi ni Maji ya kunde Mrefu wa wastani Sifa za mwanamke asiwe mwanamke chakaramu
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jioni guys, Tafadhari naomba mnisaidie katika ili, naomba niseme wazi mimi siyo timbulo. Miezi mitatu iliyopita nimeajiliwa na kampuni moja hivi hapa mjini, hiyo kampuni ni ya wahindi...
5 Reactions
210 Replies
26K Views
Mfano: Mke anataka kwenda mahala na mume wake, mume hataki kwenda huko anakotaka mke...mke anafika mahali anamlazimisha kwenda naye huko anakotaka waende wote lkn mume hayupo tayari kwenda. Ndugu...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
....Unampenda kwa sababu ni mzuri?...yaan hata akikuacha utaendelea kumuona mzuri au ...mzuri kwa sababu unampenda?..yaan akikuacha tu,basi sio mzuri tena. we upo upande gani??
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja. Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati...
31 Reactions
230 Replies
20K Views
Mmejuana leo nakupeana namba za simu ghafla hata 48hrs hazijapita unaona text *baby naomba hela ya pango 200,000 mwenye nyumba ametupa saa 1 tulipe la sivyo tuondoke *i love u my king* hahaha kama...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu baada ya kuyatumikia mapenzi kwa muda mrefu na kuwekeza vilivyo,na mwisho wa siku nilichokitegemea kutofanikiwa nimekuwa na roho ya shetani juu ya hawa viumbe wa kike. Miezi kama sita...
6 Reactions
126 Replies
8K Views
Kuna mtu katoa thread kuhusu kuwa na roho mbaya. naweza sema hayuko mbali sana na mimi japo kuna tofauti kidogo mi cfurahi sana kifo labda niwe nimethibitisha mwenyewe kuwa aliefariki ni hakuwa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom