Nimeamua kubadili aina ya maisha

Nimeamua kubadili aina ya maisha

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,052
Reaction score
529
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi
-usiwe maneno mengi
-usiwe mlevi wa kuchart
-km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member
-Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na lazma tuishi nae (Wewe na mzazi mwenzio mkinzingua mtakipata)
-Uwe na heshima na si mtu wa majibizano
-Napenda rangi nyeupe au soft maji ya kunde ( si nyeusi tiii.. huu ni udhaifu wangu Mungu nisamehe)
-Awe anaependa maisha ya kimahaba.
-Mcheshi (mwenye masihala)> (additional sifa)
-Napenda kimo cha 157cm kisizidi 170cm
-Asiwe mnene (ruksa kunenepea kwetu ukishindwa mazoezi)
-Awe anajua mapishi aisee.
-Usafi binafsi na mazingira iwe desturi yake
-Asiwe mdada wa kuendekeza kuagizaagiza everything housegirl

-Awe mwenye huruma ya dhati na anayeguswa na maisha watu wa chini
-Awe mjanja anaeweza kuendesha biashara.
-staki alieajiriwa nataka anaependa kujiajiri mwenyewe
-Awe mkristo au islam asiye na misimamo ya kimadhehebu
-Umri usizidi miaka 32 usipungue miaka 25

Mimi:-
-Ni mwajiriwa mjasiriamali pia
-Umri miaka 35-42
-Sina mke
-Kimo 170cm
- mwili wa mazoezi
-I think I'm handsome kiasi
-rangi maji ya kunde
-65-68 kg flactuating
-mkristo
-Napenda maisha ya kimahaba sana
Mengine tutajuana pm mwenzangu

Ruksa kutafta kunifaham kwa muda unaoona unafaa, ila usizidi mwaka mmoja.
Kukuwadia inaruhusiwa ila tusisukumiane mizigo

Declaration:
A New good house in town will be your first gift siku ya kuweka agano na wewe

Naomba sana km unataka kujifurahisha usije pm tusipotezeane muda jamani.
Le'me tell you people maisha ni mafupi na muda unakimbia mbaya hatuna sababu ya kufa bila kufaidi mapenzi toka kwa watu tunaopendana nao kwa dhati.
Nakuomba mwenzangu wa maisha ujeee..
Nipo hapa leo kusema kwamba tangazo hili nimelifuta, na nimeamua kuishi maisha tofauti kabisa kwa sasa, naomba Mungu anisaidie niweze kuyafikia malengo na ili jina lake litukuzwe kupitia maisha niliyoamua kuishi,
Mnisamehe km kwa namna moja ama nyingine niliwapotezea muda ama ntakuwa nimewakwaza.
I need to be happy with genuine happiness,
Please pray for me
 
Usinifanyie hivyo mwenzako niko tayari
 
Nipo hapa leo kusema kwamba tangazo hili nimelifuta, na nimeamua kuishi maisha tofauti kabisa kwa sasa, naomba Mungu anisaidie niweze kuyafikia malengo na ili jina lake litukuzwe kupitia maisha niliyoamua kuishi,
Mnisamehe km kwa namna moja ama nyingine niliwapotezea muda ama ntakuwa nimewakwaza.
I need to be happy with genuine happiness,
Please pray for me
Kimekusibu nini mkuu
 
Nakutakia safari njema katika safari ya maamuzi yako mwenyewe
 
Back
Top Bottom