Mpenzi wa utotoni ananing'ang'ania, nifanyeje?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Wakuu,

Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti.

Tumekuja kuonana ukubwani kila mtu na kazi yake sasa dada ananishobokea hatari hadi naogopa, nikikumbuka alivokuwa akiniletea mapozi, roho inaniuma. Tumeonana nimekula mzigo ila nimepiga kimya no communication, ila dada ananisumbua kwa simu.

Naomba ushauri, nifanyeje?
 
Kwann usimuambie ukweli kama humpend idiot na mpenzi wako watamla hvyohivyo
 
Labda anakupenda ndio maana anakushobokea
Kama bado unampenda wasiliana nae
Mahusiano yaanze

Usiogope
 
Kama ungekua humtaki usingemuonjesha dushe! laana zake hazitakuacha daima
 
Daa alunisumbua saana utotoni madai yake alikuwa bikra
 
Kilichoniudhi nimemkuta siyo bikra tena, aliniringia akaenda mpa mwingine aitoe, sasa hivi ndo ananitaka
 
kwann awe bikra wakati alikua hakutaki.,.. aliowataka washaitoa sku nyingii,,,inaezekana ukiwa nae shule moja bado
 
Wakuu,

Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti.

Tumekuja kuonana ukubwani kila mtu na kazi yake sasa dada ananishobokea hatari hadi naogopa, nikikumbuka alivokuwa akiniletea mapozi, roho inaniuma. Tumeonana nimekula mzigo ila nimepiga kimya no communication, ila dada ananisumbua kwa simu.

Naomba ushauri, nifanyeje?
Endelea kula mambo tu ila usiingie mazima utakufa
 
Wakuu,

Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti.

Tumekuja kuonana ukubwani kila mtu na kazi yake sasa dada ananishobokea hatari hadi naogopa, nikikumbuka alivokuwa akiniletea mapozi, roho inaniuma. Tumeonana nimekula mzigo ila nimepiga kimya no communication, ila dada ananisumbua kwa simu.

Naomba ushauri, nifanyeje?
Kama humtaki achana naye usimpotezee muda wake,ni haki yako kama umemkuta sio bikra na wakati anayo alikuringia akatolewa na wengine sasa anataka akuuzie dodoki!aende kwa aliyemtoa au uishi naye bure bwerere akinyanyua mdomo fukuza!
 
Dah wangu wa utotoni nilimpata Sunday school. Akaja ntosa form four akapata mshkaji wa chuo.. Damn, i used to buy that b*tch doughnuts after church!!!
 
Wakuu,

Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti.

Tumekuja kuonana ukubwani kila mtu na kazi yake sasa dada ananishobokea hatari hadi naogopa, nikikumbuka alivokuwa akiniletea mapozi, roho inaniuma. Tumeonana nimekula mzigo ila nimepiga kimya no communication, ila dada ananisumbua kwa simu.

Naomba ushauri, nifanyeje?
Sasa anakusumbuaje wakati ushapiga mambo???? Muite tena aje gheto safari hii usimpige mambo, mchezeeee, mpige vidole kisawa sawa ukishaona kalainika zen mwambie asepe(hapa unatakiwa uvae sura ya kazi na sio kucheka cheka nae)

Kama hyo ngumu, we waite wana kama watano au sita hivi, alafu mumpige kolabo uone kama atakuja tena
 
Daa alunisumbua saana utotoni madai yake alikuwa bikra

umefanya vibaya maana akili zile zilikua za utoto! leo mmekutana ndo wakati muafala kama ulikuwa na hasira zako njia uliyotumia kuzimaliza siyo yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom