Kila nikikumbuka kisa hiki, natoa saluti kwa mapenzi

respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,490
Likes
1,403
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,490 1,403 280
Habari ladies an gentleman,

Yap,
Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile mbaya.. Aisee kale katoto kalikuwa kazuri bwana asikwambie mtu..!!

Naam
Siku ya siku hii hapa... nimeazima Cd moja ya Action kwa jamaa yangu ndo naiangalia mdogo mdogo pale sitting room. Boss huwa anachelewa kurudi na Mama boss kaenda msibani.. Ebwanee ile cd ilikuwa na fool action za "kikubwa" ile mbaya. Basi mi mzee ndo najinyonganyonga pale msaada wangu ni mkono nilioutumbukiza kwenye suruali nikipoza ndizi iliyovimba tayari kwa kuingia kwenye mafuta ya moto!.

Aaaah,
Kama Hg kaniona vile.., huyu hapa kaja kuleta msosi..!! Mi mzee miudende inanimwagika huku miguu ikiishiwa nguvu kila mshare wa sekunde unapogonga!. Nikajizoazoa pale nikakusanya nguvu na akili chache zilizobakia baada ya nyingi kutumika mkononi na kule kwenye Tv!. Nikamshika mkono huku nikifanya kila jitihada kwa mkono uliobakia ili kuilaza ile ndizi iliyototutumka kwa hasira kule kati..!!. Hata ujasiri wa kuongea sijui niliutoa wapi? ila ninachojua alikubali baada ya ubishani wa dakika kadhaa na kuahidi atakuja getto ikishatimu saa sita kamili.

Saa nne hii hapa,
Boss keshakuja kapitiliza kulala bila hata kula, Mle ndani kunawapangaji kama watatu hivi, kunavyumba kama vitatu vya kulala kwaajili ya mwenyenyumba
ambavyo kavigawa kulingana na idadi ya familia yake. Mi kunakitoto chake kimoja kikubwakubwa nilikuwa nalala nacho nikakifukuzia kwenye chumba kingine cha vitoto vidogodogo kwa kisingizio kuwa kimezidi uchafu..!!!

Eeeh,
Sasa chumba cha mabinti kiko kimoja tu na ndicho analala Hg pamoja na mabinti wengine watatu wa Boss.

Mi kule getto,
Saa sita ilishagonga mda mrefu, mi nacheza tu na remote natoka Westlife naingia kwa Celine Dion, Huku kwa Usher kule kwa Joe Thomas... Midude imepanda imefika kiwango cha mwisho.. Ndizi imevimba, mishipa yote imesimama kwa hasira kuu.. Mwili wote unawaka moto!! Nimeshatoka mara kadhaa kwenda kuloweka ndizi kwenye maji ya baridi ili kuipoza, nikirudi tu ndani kesi ambayo wakili wake anakoroma kule inaanza upyaa..!!

Uvumilivu umenishinda,
Nimetoka getto niko uwanjani natafuta fimbo yoyote ili nimshitue yule Hg, Kama vile mashatani yalikuwa nami, niliona fimbo ambalo huwa linakuwa Supporter kwa wauza mkaa kubebea bidhaa hiyo. Kimoyomoyo namshukuru aliyenunua mkaa siku hiyo, Nalinyanyua huyoooo mpaka dirishani kwa Mabinti wale, Kumbuka hiyo ishaenda ni saa na nane na madakika kadhaa ni usiku wa njozi kali..!!

Daaah,
Naangalia huku na kule kama nitaona mtu yeyote anayeniona au anayetoka kwenda uwani (choo tulikuwa tunashare) kimyaa mbaramwezi na nyota tu ndizo zinanishuhudia.. Nikajipinda mzee nikalifikia Dirisha, Kidirisha chenyewe kilikuwa kikuukuu, Nakisukuma kinatii amri kinaniachia uwazi.... asalaee.... Kutahamaki nawaona mabinti wote wamelala gubigubi!, Ni sauti tu zinapishana, huyu ya chura, huyu ya Ng'ombe, huyu ya paka... wanakoroma balaa..!!!

Mmmhhhh
Mabinti wawili wanafanana urefu akiwemo Hg, Vingine ni vidogovidogo. Sasa wamelala gubigubi mimi namtambua yupi ni yupi sasaa... Wazo la kuahirisha linaniingia lakini linatupiliwa mbali na ugwadu mkali ulionikamata!!... liwalo na liwe likawa kweli...!!! Natumbukiza lile lifimbo linazama ndani bila ajizi, linamfikia mmoja amelala mwishoni kabisaa... Namchokonoa kimya, Namchokono mara ya pili pia kimya..!! Naona nguvu ninayoitumia ni ndogo. Basi najiweka sawa huku nikikusanya nguvu zaidi.. nalishindilia lile li fimbo usawa wa makalio.. aah, mtu anashtuka. Namuona anamawenge wenge, namchokonoa tena usawa ule ule huku nikitumia mkono mwingine kumuashiria kuwa aje......

Ooh Msalaaaaaa,
Binti anapiga kelele Mamaaaaaaa, Kutahamaki kumbe niliyemchokonoa siyo Hg ni mdogo wa Mama Boss..!!! BasI binti anazidisha kelele.. Mwiziiiiiiiiiiiiii...... Mi sasa ndo nazibuka, akili inanikaa sawa... Naliachia lile lifimbo palepale Dirishani, natimua mbio mpaka Getto, natweta kwa kihoro huku Nimechanganikiwa, Zile kelele za yule binti zinasambaa nyumba nzima, nasikia tu kwenye vyumba vya wapangaji wakigongagonga vitu kwenye Mabati kuashiria wamevamiwa.... Niko getto bado nasikia watu wakikusanyika uwanjani, yule binti na wenzie sasa wamekazana wanapayuka mwizi mwizi... Wamechachamaa kwelokweli...

Kimbembe...
Sijakaa sawa, nasikia mlango wa Boss unafunguliwa, nasikia sauti za watu zikisemezana hivi na vile... Najitutumua nami natoka na kipensi changu na lusingreti huku nikifikichafikicha macho kuashiria nimetoka kwenye usingizi mzito..!!... Ile nafungua mlango namuona Boss na minyasi yeke kifuani kashikilia Panga linang'aa ile mbaya.. Watu wote washatoka vyumbani mwao, basi kile kibinti ndo kinasimulia sasaa.. ilikuwa hivi na vile.. Halafu mwizi mwenyewe nimemuona anafanana sana na Kaka Timo (mimi) nashtuka kishkaji, najikausha..!! Nami nimesikia kishindo kwenye chumba changu kisha nikasikia kishindo tiiiiii... Najitutumua kuongea.. Kile kibinti kimekaza... Sema kweli kaka timo labda ulikuwa unatutishia tu..... nakiangalia kwa jicho la mkato!!.... Halafu tunasikia mtu akigonga geti kuu huku akitaja jina la boss, kufungua, Ni jirani yake boss. Kumbe zile sauti za mabati na Mabinti wakipiga kelele zimemfikia naye ndo anasimulia sasa...

Mlivokuwa mnapiga kelele mi natoka nasikia michakato ya mtu akikimbia kwa vishindo vingi... kabla ya kumfukuzia nimesema nije hapa nijue kama kunamadhara yoyote...... Moyoni nashangilia huku nikimsifu yule dingi kwa kutumia fursa kujikomba kwa boss (Boss anauwezo kipesa pale mtaani) Basi boss anashukuru hivi na vile wanaachana nasi kila mmoja akirudi chumbani kwake, mi nakuwa wakwanza huku nikimtania yule binti kwa kunifananisha mimi na "Mwizi"

Ndo hivyo,
Nakuwa wakwanza kuingia getto huku nikihisi macho 50 ya watu mle ndani yakinitazama.. Hata sikupata usingizi, asubihi nakuwa mtu wa kwanza kwenda kazini.. siyo kawaida yangu kabisaaa

HAKIKA SINTOISAHAU SIKU HII
 
Tamama

Tamama

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Messages
902
Likes
1,038
Points
180
Tamama

Tamama

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2016
902 1,038 180
Hahahahahaha dah na genye zote zikakuisha
 
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
7,414
Likes
7,264
Points
280
peterchoka

peterchoka

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
7,414 7,264 280
kwa hiyo hukula tunda.. vipi baadaye alikupa
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,960
Likes
13,934
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,960 13,934 280
hadithi yako inatufundisha nini?
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
6,185
Likes
9,710
Points
280
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
6,185 9,710 280
HUWEZI kuamini sijaisoma hii habari nimeamua tu kuko ment kama hivi next time Njoo na kitu kifupi nipate hamu ya kusoma
 
Hadza

Hadza

Senior Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
162
Likes
160
Points
60
Hadza

Hadza

Senior Member
Joined Nov 16, 2016
162 160 60
hahahaaaaa boss angekutomoa macho, ukome kushadadia vi house girl
 
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
5,722
Likes
4,127
Points
280
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
5,722 4,127 280
Habari ladies an gentleman,

Yap,
Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile mbaya.. Aisee kale katoto kalikuwa kazuri bwana asikwambie mtu..!!

Naam
Siku ya siku hii hapa... nimeazima Cd moja ya Action kwa jamaa yangu ndo naiangalia mdogo mdogo pale sitting room. Boss huwa anachelewa kurudi na Mama boss kaenda msibani.. Ebwanee ile cd ilikuwa na fool action za "kikubwa" ile mbaya. Basi mi mzee ndo najinyonganyonga pale msaada wangu ni mkono nilioutumbukiza kwenye suruali nikipoza ndizi iliyovimba tayari kwa kuingia kwenye mafuta ya moto!.

Aaaah,
Kama Hg kaniona vile.., huyu hapa kaja kuleta msosi..!! Mi mzee miudende inanimwagika huku miguu ikiishiwa nguvu kila mshare wa sekunde unapogonga!. Nikajizoazoa pale nikakusanya nguvu na akili chache zilizobakia baada ya nyingi kutumika mkononi na kule kwenye Tv!. Nikamshika mkuno huku nikifanya kila jitihada kwa mkono uliobakia ili kuilaza ile ndizi ilitotutumka kwa hasira kule kati..!!. Hata ujasiri wa kuongea sijui niliutoa wapi? ila ninachojua alikubali baada ya ubishani wa dakika kadhaa na kuahidi atakuja getto ikishatimu saa sita kamili.

Saa nne hii hapa,
Boss keshakuja kapitiliza kulala bila hata kula, Mle ndani kunawapangaji kama watatu hivi, kunavyumba kama vitatu vya kulala kwaajili ya mwenyenyumba
ambavyo kavigawa kulingana na idadi ya familia yake. Mi kunakitoto chake kimoja kikubwakubwa nilikuwaba nalala nacho nikakifukuzia kwenye chumba kingine cha vitoto vidogodogo kwa kisingizio kuwa kimezidi uchafu..!!!

Eeeh,
Sasa chumba cha mabinti kiko kimoja tu na ndicho analala Hg pamoja na mabinti wengine watatu wa Boss.

Mi kule getto,
Saa sita ilishagonga mda mrefu, mi nacheza tu na remote natoka Westlife naaingia kwa Celine Dion, Huku kwa Usher kule kwa Joe Thomas... Midude imepanda imefika kiwango cha mwisho.. Ndizi imevimba, mishipa yote imesimama kwa hasira kuu.. Mwili wote unawaka moto!! Nimeshatoka mara kadhaa kwenda kuloweka ndizi kwenye maji ya baridi ili kuipoza, nikurudi tu ndani kesi ambayo wakili wake anakoroma kule inaanza upyaa..!!

Uvumilivu umenishinda,
Nimetoka getto niko uwanjani natafuta fimbo yoyote ili nimshutue yule Hg, Kama vile mashatani yalikuwa nami niliona fimbo ambao huwa linakuwa Suppoter kwa wauza mkaa bubea bidhaa hiyo. Kimoyomoyo namshukuru aliyenunua mkaa siku hiyo, Nalinyanyua huyoooo mpaka dirishani kwa Mabinti wale, Kumbuka hiyo ishaenda ni saa na nane na madakika kadhaa ni usiku wa njozi kali..!!

Daaah,
Naangalia huku na kule kama nitaona mtu yeyote anayeniona au anayetoka kwenda uwani (choo tulikuwa tunashare) kimyaa mbaramwezi na nyota tu ndizo zinanishuhudia.. Nikajipinda mzee nikalifikia Dirisha, Kidirisha chenyewe kilikuwa kikuukuu, Nakisukuma kinatii amri kinaniachia uwazi.... asalaee.... Kutahamaki nawaona mabinti wote wamelala gubigubi!, Ni sauti tu zinapishana, huyu ya chura, huyu ya Ng'ombe, huyu ya paka... wanakoroma balaa..!!!

Mmmhhhh
Mabinti wawili wanafanana urefu akiwemo Hg, Vingine ni vidogovidogo. Sasa wamelala gubigubi mimi namtambua yupi ni yupi sasaa... Wazo la kuahirisha linaniingia lakini linatupiliwa mbali na ugwadu mkali ulionikamata!!... liwalo na liwe likawa kweli...!!! Natumbukiza lile lifimbo linazama ndani bila ajizi, linamfikia mmoja amelala mwishoni kabisaa... Namchokonoa kimya, Namchokono mara ya pili pia kimya..!! Naona nguvu ninayoitumia ni ndogo. Basi najiweka sawa huku nikikusanya nguvu zaidi.. nalishindilia lile li fimbo usawa wa makalio.. aah, mtu anashtuka. Namuona anamawenge wenge, namchokonoa tena usawa ule ule huku nikitumia mkono mwingine kumuashiria kuwa aje......

Ooh Msalaaaaaa,
Binti anapiga kelele Mamaaaaaaa, Kutahamaki kumbe niliyemchokonoa siyo Hg ni mdogo wa Mama Boss..!!! BasI binti anazidisha kelele.. Mwiziiiiiiiiiiiiii...... Mi sasa ndo nazibuka, akili inanikaa sawa... Naliachia lile lifimbo palepale Dirishani, natimua mbio mpaka Getto, natweta kwa kihoro huku Nimechanganikiwa, Zile kelele za yule binti zinasambaa nyumba nzima, nasikia tu kwenye vyumba vya wapangaji wakigongagonga vitu kwenye Mabati kuashiria wamevamiwa.... Niko getto bado nasikia watu wakikusanyika uwanjani, yule binti na wenzie sasa wamekazana wanapayuka mwizi mwizi... Wamechachamaa kwelokweli...

Kimbembe...
Sijakaa sawa, nasikia mlango wa Boss unafunguliwa, nasikia sauti za watu zikisemezana hivi na vile... Najitutumua nami natoka na kipensi changu na lusingreti huku nikifikichafikicha macho kuashiria nimetoka kwenye usingizi mzito..!!... Ile nafungua mlango namuona Boss na minyasi yeke kifuani kashikilia Panga ling'aa ile mbaya.. Watu wote washatoka vyumbani mwao, basi kile kibinti ndo kinasimulia sasaa.. ilikuwa hivi na vile.. Halafu mwizi mwenyewe nimemuona anafanana sana na Kaka Timo (mimi) nashtuka kishkaji, najikausha..!! Nami nimesikia kishindo kwenye chumba changu kisha nikasikia kishindo tiiiiii... Najitutumua kuongea.. Kile kibinti kimekaza... Sema kweli kaka timo labda ulikuwa unatutishia tu..... nakiangalia kwa jicho la mkato!!.... Halafu tunasikia mtu akigonga geti kuu huku akitaja jina la boss, kufungua, Ni jirani yake boss. Kumbe zile sauti za mabati na Mabinti wakipiga kelele zimemfikia naye ndo anasimulia sasa...

Mlivokuwa mnapiga kelele mi natoka nasikia michakato ya mtu akikimbia kwa vishindo vingi... kabla ya kumfukuzia nimesema nije hapa nijue kama kunamadhara yoyote...... Moyoni nashangilia huku nikimsifu yule dingi kwa kutumia fursa kujikomba kwa boss (Boss unauwezo kipesa pale mtaani) Basi boss anashukuru hivi na vile wanaachana nasi kila mmoja akirudi chumbani kwake, mi nakuwa wakwanza huku nikimtania yule binti kwa kunifananisha mimi na "Mwizi"

Ndo hivyo,
Nakuwa wakwanza kuingia getto huku nikihisi macho 50 ya watu mle ndani yakinitazama.. Hata sikupata usingizi, asubi nakuwa mtu wa kwanza kwenda kazini.. siyo kawaida yangu kabisaaa

HAKIKA SINTOISAHAU SIKU HII
Bora ungepiga nyeto yaishe
 
Itzmusacmb

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
1,537
Likes
1,050
Points
280
Itzmusacmb

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
1,537 1,050 280
Daaaah noma kweli!!
 
Mugunga

Mugunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
642
Likes
884
Points
180
Age
46
Mugunga

Mugunga

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
642 884 180
We jamaa pole! Yaani ulikuwa unafikiria na kuwaza kwa kutumia kichwa cha chini.
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,490
Likes
1,403
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,490 1,403 280
Hahahahahaha dah na genye zote zikakuisha
Acha kabisa hizo mambo mkuu,

Ndizi ikajilalia yenyewe, hakuna cha kulowekwa kwenye maji wala nini..!!

Achana kabisa na presha mkuu
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,490
Likes
1,403
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,490 1,403 280
kwa hiyo hukula tunda.. vipi baadaye alikupa
Huo ndo ulikuwa mwanzo wa bifu na yule Hg

Basi mi ni mwendo wa kukichongea tu kwa boss, mara kinachelewesha chakula dukani, mara kinafanya vile.... ilimradi tu kiondoke halafu kije kingine..!!!

Na vile boss alikuwa ananikubali, akaja kukiondoa kikaja kingine kichafuchafu hivi....

Ila tangu hapo mi hawa watu nawaangalia kwa mbali sana
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,490
Likes
1,403
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,490 1,403 280
hadithi yako inatufundisha nini?
Pole sana kijana,

Maandishi yote hayo we unaona mapichapicha tu, Hata ukiambiwa kwa kifupi huwezi elewa, akili yako imevia..!!

Elimu, Elimu, Elimu
 
tulu

tulu

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Messages
191
Likes
114
Points
60
Age
42
tulu

tulu

Senior Member
Joined Aug 30, 2016
191 114 60
Habari ladies an gentleman,

Yap,
Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile mbaya.. Aisee kale katoto kalikuwa kazuri bwana asikwambie mtu..!!

Naam
Siku ya siku hii hapa... nimeazima Cd moja ya Action kwa jamaa yangu ndo naiangalia mdogo mdogo pale sitting room. Boss huwa anachelewa kurudi na Mama boss kaenda msibani.. Ebwanee ile cd ilikuwa na fool action za "kikubwa" ile mbaya. Basi mi mzee ndo najinyonganyonga pale msaada wangu ni mkono nilioutumbukiza kwenye suruali nikipoza ndizi iliyovimba tayari kwa kuingia kwenye mafuta ya moto!.

Aaaah,
Kama Hg kaniona vile.., huyu hapa kaja kuleta msosi..!! Mi mzee miudende inanimwagika huku miguu ikiishiwa nguvu kila mshare wa sekunde unapogonga!. Nikajizoazoa pale nikakusanya nguvu na akili chache zilizobakia baada ya nyingi kutumika mkononi na kule kwenye Tv!. Nikamshika mkuno huku nikifanya kila jitihada kwa mkono uliobakia ili kuilaza ile ndizi ilitotutumka kwa hasira kule kati..!!. Hata ujasiri wa kuongea sijui niliutoa wapi? ila ninachojua alikubali baada ya ubishani wa dakika kadhaa na kuahidi atakuja getto ikishatimu saa sita kamili.

Saa nne hii hapa,
Boss keshakuja kapitiliza kulala bila hata kula, Mle ndani kunawapangaji kama watatu hivi, kunavyumba kama vitatu vya kulala kwaajili ya mwenyenyumba
ambavyo kavigawa kulingana na idadi ya familia yake. Mi kunakitoto chake kimoja kikubwakubwa nilikuwaba nalala nacho nikakifukuzia kwenye chumba kingine cha vitoto vidogodogo kwa kisingizio kuwa kimezidi uchafu..!!!

Eeeh,
Sasa chumba cha mabinti kiko kimoja tu na ndicho analala Hg pamoja na mabinti wengine watatu wa Boss.

Mi kule getto,
Saa sita ilishagonga mda mrefu, mi nacheza tu na remote natoka Westlife naaingia kwa Celine Dion, Huku kwa Usher kule kwa Joe Thomas... Midude imepanda imefika kiwango cha mwisho.. Ndizi imevimba, mishipa yote imesimama kwa hasira kuu.. Mwili wote unawaka moto!! Nimeshatoka mara kadhaa kwenda kuloweka ndizi kwenye maji ya baridi ili kuipoza, nikurudi tu ndani kesi ambayo wakili wake anakoroma kule inaanza upyaa..!!

Uvumilivu umenishinda,
Nimetoka getto niko uwanjani natafuta fimbo yoyote ili nimshutue yule Hg, Kama vile mashatani yalikuwa nami niliona fimbo ambao huwa linakuwa Suppoter kwa wauza mkaa bubea bidhaa hiyo. Kimoyomoyo namshukuru aliyenunua mkaa siku hiyo, Nalinyanyua huyoooo mpaka dirishani kwa Mabinti wale, Kumbuka hiyo ishaenda ni saa na nane na madakika kadhaa ni usiku wa njozi kali..!!

Daaah,
Naangalia huku na kule kama nitaona mtu yeyote anayeniona au anayetoka kwenda uwani (choo tulikuwa tunashare) kimyaa mbaramwezi na nyota tu ndizo zinanishuhudia.. Nikajipinda mzee nikalifikia Dirisha, Kidirisha chenyewe kilikuwa kikuukuu, Nakisukuma kinatii amri kinaniachia uwazi.... asalaee.... Kutahamaki nawaona mabinti wote wamelala gubigubi!, Ni sauti tu zinapishana, huyu ya chura, huyu ya Ng'ombe, huyu ya paka... wanakoroma balaa..!!!

Mmmhhhh
Mabinti wawili wanafanana urefu akiwemo Hg, Vingine ni vidogovidogo. Sasa wamelala gubigubi mimi namtambua yupi ni yupi sasaa... Wazo la kuahirisha linaniingia lakini linatupiliwa mbali na ugwadu mkali ulionikamata!!... liwalo na liwe likawa kweli...!!! Natumbukiza lile lifimbo linazama ndani bila ajizi, linamfikia mmoja amelala mwishoni kabisaa... Namchokonoa kimya, Namchokono mara ya pili pia kimya..!! Naona nguvu ninayoitumia ni ndogo. Basi najiweka sawa huku nikikusanya nguvu zaidi.. nalishindilia lile li fimbo usawa wa makalio.. aah, mtu anashtuka. Namuona anamawenge wenge, namchokonoa tena usawa ule ule huku nikitumia mkono mwingine kumuashiria kuwa aje......

Ooh Msalaaaaaa,
Binti anapiga kelele Mamaaaaaaa, Kutahamaki kumbe niliyemchokonoa siyo Hg ni mdogo wa Mama Boss..!!! BasI binti anazidisha kelele.. Mwiziiiiiiiiiiiiii...... Mi sasa ndo nazibuka, akili inanikaa sawa... Naliachia lile lifimbo palepale Dirishani, natimua mbio mpaka Getto, natweta kwa kihoro huku Nimechanganikiwa, Zile kelele za yule binti zinasambaa nyumba nzima, nasikia tu kwenye vyumba vya wapangaji wakigongagonga vitu kwenye Mabati kuashiria wamevamiwa.... Niko getto bado nasikia watu wakikusanyika uwanjani, yule binti na wenzie sasa wamekazana wanapayuka mwizi mwizi... Wamechachamaa kwelokweli...

Kimbembe...
Sijakaa sawa, nasikia mlango wa Boss unafunguliwa, nasikia sauti za watu zikisemezana hivi na vile... Najitutumua nami natoka na kipensi changu na lusingreti huku nikifikichafikicha macho kuashiria nimetoka kwenye usingizi mzito..!!... Ile nafungua mlango namuona Boss na minyasi yeke kifuani kashikilia Panga ling'aa ile mbaya.. Watu wote washatoka vyumbani mwao, basi kile kibinti ndo kinasimulia sasaa.. ilikuwa hivi na vile.. Halafu mwizi mwenyewe nimemuona anafanana sana na Kaka Timo (mimi) nashtuka kishkaji, najikausha..!! Nami nimesikia kishindo kwenye chumba changu kisha nikasikia kishindo tiiiiii... Najitutumua kuongea.. Kile kibinti kimekaza... Sema kweli kaka timo labda ulikuwa unatutishia tu..... nakiangalia kwa jicho la mkato!!.... Halafu tunasikia mtu akigonga geti kuu huku akitaja jina la boss, kufungua, Ni jirani yake boss. Kumbe zile sauti za mabati na Mabinti wakipiga kelele zimemfikia naye ndo anasimulia sasa...

Mlivokuwa mnapiga kelele mi natoka nasikia michakato ya mtu akikimbia kwa vishindo vingi... kabla ya kumfukuzia nimesema nije hapa nijue kama kunamadhara yoyote...... Moyoni nashangilia huku nikimsifu yule dingi kwa kutumia fursa kujikomba kwa boss (Boss unauwezo kipesa pale mtaani) Basi boss anashukuru hivi na vile wanaachana nasi kila mmoja akirudi chumbani kwake, mi nakuwa wakwanza huku nikimtania yule binti kwa kunifananisha mimi na "Mwizi"

Ndo hivyo,
Nakuwa wakwanza kuingia getto huku nikihisi macho 50 ya watu mle ndani yakinitazama.. Hata sikupata usingizi, asubi nakuwa mtu wa kwanza kwenda kazini.. siyo kawaida yangu kabisaaa

HAKIKA SINTOISAHAU SIKU HII
Pole sana kaka yaan nmecheka sana ama kweki ujana Maji ya moto. Hiyo trick mbaya inaweza kukufanya ufe kimzaa mzaa
 
Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000