Hii ndio tofauti pale wanawake wakipenda

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba nyuma ya kibodaboda chako na kula vumbi lote na upepo.

Mahaba yamempofusha na kila kitu kwake ni kawaida na it doesnt matter maadam anakupenda hilo latosha. Mwanaume akikupenda ni tofauti, kama ni dereva wa bodaboda haoni hummer, anaiona bodaboda kama ilivyo.

Na hapa ndo tofauti inapojia. Swali ni je, hawa wanawake wa kizazi cha Blackberry wanapenda kweli siku hizi? Nina wasiwasi badala ya kupofushwa na mahaba hela zimeovertake na zimewapofusha kabisa.

Hongera kwa eanawake wote wa kweli, ambao mkipenda mnapenda kwa dhati, achaneni na hizi nungayembe hela mbele. com, endeleeni kutupenda, tukiliona pendo huwa tunali-value.
 
Kuna wanaume wengine hata uwapende vipi, bado tamaa zina waponza, tulieni basi na nyie wanaume mnapopendwa maana sometimes mnatukatisha tamaa
 
Mmmh
 
Asante mim ni mmojawapo nikipenda napenda kweli...ila mwisho wa siku tunapopenda hatupendeki...
 
Nikipenda napenda haswaa yaani haitojalisha unayo doh au unaga doh
 
Kuna wanaume wengine hata uwapende vipi, bado tamaa zina waponza, tulieni basi na nyie wanaume mnapopendwa maana sometimes mnatukatisha tamaa
Mnataka tutulie ili mtupune mkwanja wote???
Tukiona danger alarm tunasepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom