Hapana hajabatizwa nae..ushauri wako bado unahitajikaKwani ulibatizwa nae mkuu?
Ukishabatizwa wewe ni Charles hata ukislimu bado jina la Charles litakuwepo, kama umekutana nae ukubwani achana nae.Hapana hajabatizwa nae..ushauri wako bado unahitajika
Du, mimi ninavyoogopa magonjwa, nikisikia kwanza tendo ni no, nitatoa visingizio huku ninakuchunguza.Hakikisha mpaka umeshuhudia usaliti live, sio umeona msg au watu wote wanasema mtaani.
Hizo habari za kusikia sio nzuri, wanafiki wengi hawapendi penzi lenu kuliona linashamiri, usisikilize maneno ya watu mpaka uthibitishe kwa macho yako live bila chengaDu, mimi ninavyoogopa magonjwa, nikisikia kwanza tendo ni no, nitatoa visingizio huku ninakuchunguza.
Ni kujifungia tu chumbani na kuchekaaaaa hadi asubuhi.Jaman nn hatua njema ya busara ya kuchukua pale mpenz wako anapokusalit??
Hahaha...aisee wazungu wanatuudhi kwa kutuita MANYANI lakini....[emoji23] [emoji23] [emoji23]