Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,030
Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,

Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?
 
Back
Top Bottom