issa mweusi JF-Expert Member May 31, 2015 1,477 1,138 Dec 25, 2016 #1 Mimi Nina nia ya kuoa Zanzibar lakin mpaka sasa hatakufika sijawahi wala kukutana na mzenji,nia YANGU itafikia malengo?
Mimi Nina nia ya kuoa Zanzibar lakin mpaka sasa hatakufika sijawahi wala kukutana na mzenji,nia YANGU itafikia malengo?
imbegete JF-Expert Member Jun 21, 2015 1,299 991 Dec 25, 2016 #4 Si ubadili dini ili upate kitu roho inapenda kuliko kulialia!!!
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,932 8,199 Dec 25, 2016 #5 Wana sifa gani ya ziada nasi tuijue mkuu.
Mkwawe JF-Expert Member Jun 10, 2016 3,007 5,286 Dec 25, 2016 #6 Sample zao zimejaa Chato... Wahi kajichagulie nafasi ni chache
mtembea kwa miguu JF-Expert Member Mar 23, 2012 1,121 1,728 Dec 25, 2016 #7 Ukiwaoa ujue huo ni mkataba wa mkoloni na hawatoki ndani
MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,996 7,087 Dec 25, 2016 #8 Wazenji wengi sana wamejaa huku kizota makao makuu
M Mwanampuna Senior Member Jul 21, 2016 131 80 Dec 25, 2016 #10 Afu mara nyingi wanapenda wazenji wao wanawaogopa sana wanaume wa tanzania bara
U ustadhijuma JF-Expert Member Jul 20, 2015 3,021 1,977 Dec 25, 2016 #11 kwa hulka ya hivyo Ni bora tuoane wenyewe tu kuliko nyie wabara