Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Apr 20, 2011.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wakuu wa Jukwaa La Malavedave;

  Bila ya shaka wengi mmewahi kutuma au kupokea SMS za Mapenzi kuhusiana na subject mbalimbali katika mapenzi. Hata hivyo kuna zile ambazo zinafurahisha sana na pia kutia raha mara ukisoma. katika hizo chache nilizokutanaza nazo. Naomba, usome, tafakari, cheka, kisha na wewe tuambie ni SMS gani ulizokutana nazo ambazo ukizikumbuka zinakufurahisha?

  • Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.
  • Kila siku najiuliza moyoni hivi ni nini nilichokukosea jamani? Mitaani sikuoni, hata njozini pia huonekani hivi kweli upo hapa duniani? Naamini nitapata kusikia toka kwako siku za usoni,nimekumiss nakueleza toka moyoni, zaidi kumbuka haya siyo maisha wanayoishi marafiki duniani!
  • Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!
  • Nakupenda dear, amini moyoni umeniingia ndiyo maana mimba nikaamua kukubebea pasipo kunioa hakika mahaba yako yanifanya nijione malkia katika hii dunia! Nakupenda
  • Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
  Je, Ni SMS gani za kufurahisha za mapenzi umewahi kukutana nazo? share with us with a light touch.

  Peace and Love.

  Respect

  Superman
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ngoja niangalie ile simu yangu ya zamani ndo ilikua na sms za mapenzi,...
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Na hii ya enzi za skuli je?

  Masomo yananitatiza, mapenzi yananitatiza, najiona kama nipo kwenye usiku wa giza, kwa jinsi ulivyoniumiza, wajua kiasi gani umenichukiza lakini mpenzi nakupenda basi punguza kunitenda. Be good.
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du! Mkuu, nimecheka sana. ya zamani ipi hiyo?

  Respect.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Na enzi zetu wakati vidume tunatongoza:

  …….. mtoto una jina tamu, linalonitia hamu yakuwa nawe mahali patamu patakapotufanya tusiishiwe hamu, yakuongea maneno matamu, sijui waweza nipa nafasi nikueleze yaliyo kwenye yangu nafsi
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Na kwa wale wapenzi walio mbalimbali:

  Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kwa wale waliopigwa Kibuti:

  Nilikueleza lakini hukutaka kunisikia sasa wabaki ukilia-lia na leo wataka nirudia kwa maneno matamu kuniambia, najua hujatulia, siwezi moyo wangu kukufungulia, utabaki ukijutia lakini penzi siwezi kukupatia.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Na hii kwa waliooana:

  Siku zote nakaa nikijiuliza kwanini niliamua kuwa nawe maishani, kuishi mume na mke ni kazi lakini si kwako mpenzi unayejua kunienzi, mahaba matamu kunipatia, hakika siwezi jutia, nafsi yangu kukufungulia.
   
 9. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntarudi!!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  mh,hawa ndoa ya miezi sita!hivi ni kwa nini watu wakishaoana wanakuwa maadui?utasema walilazimishwa!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  distance makes the heart fonder,coz it is just a heartbeat away (kadi hiyo,ina vi-love love vinapaa na mawingu yamezungua,lol!maza angeona angeua!)
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  **** U!! Meaning that: F-Flowers for u, U-Unlimited love for u, C-Chocolate is not sweeter than u, K-Kisses for u, U-U are always on my mind.
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye bold kaka unasifia au unaponda?
  Yangu hii hapa
  Sio siri we ndo my namba one,kwingine sitoenda jinsi ulivyo umbika nahiyo namba 8 figure.
  we ni mzuri kuliko wanawake wote duniani,i lv u.
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Penzi lako tamu kuliko la kaka yako!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna mmoja aliwahi kunitumia message ilikuwa inasema "Niko tayari kukupa mshahara wangu wa kila mwezi kuliko kukosa penzi lako"
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Niaje Espe;

  Mbona hurudi?
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu umeipata vizuri hiyo . . . inamalizia hivi . . . .

  kuishi mume na mke ni kazi lakini si kwako mpenzi unayejua kunienzi, mahaba matamu kunipatia, hakika siwezi jutia, nafsi yangu kukufungulia
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Imetulia!
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Nice one!

  I hope the **** is an abbreviation of what you presented
   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Noted Mkuu. Cheers!

  Mkuu una kitu namba 8 kweli?
   
Loading...