Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni takribani miaka 23 imepita tangu nizaliwe, ila tangu niingie umri wa kujitambua sijawahi kuwa na mpenzi pasipo na sababu za msingi, hii inanipunguzia uwezo wa kujiamini hasa pale ninapowaona...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku hizi, kuna ugumu wakati mwingine, kujua kama mtu ni mwanamke au ni mwanaume. Vijana na hata watu wazima wengi wanaume hujipamba sana kwa kutumia vipodozi, ambavyo kwa kawaida, vimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Wakuu,naandika Uzi huu nikiwa na hasira Sana.Mama Chanja ananivuruga Sana aisee.. Kihere here cha moyo,maumivu napata Mie,sihusiki,na wala sina hati.Nasononeka mwenzenu.. Mama Chanja hana...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nisaidien jamani Nina mpnz wangu, kila nikiumwa huwa ananifukuza, ila nikiwa mzima yuko karibu nami, nifanyeje? Nivumilie au niendelee nae atabadirika?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hello wana JF, Naomba niende moja kwa moja kwenye MADA kama inavyojieleza; 1. MWANAMKE MKOROFI Hufanya kile unachomkataza na hufanya tena natena, mara nyingi huwa haidhiki hata umfanyie nini...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama... Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani.. Hii tabia...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Habarini wakuu nimekuja leo asubuhiasubuhi kuwapeni kisa kilichonikuta juzijuzi Iko hivi.Kuna michana mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano ila sikuwahi kumtongoza, tulijikuta tunakuwa wapenzi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa kile alichokibeba tumboni. Hakuna ubishi kuwa mama...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Habarini za sikukuu? Mimi ni mwanaume wa Bara Umri wangu 30 yrs Ni mrefu mwembamba kiasi Mweusi kidogo Dini mkristo. Elimu darasa la saba Kazi yangu nimejiajiri na Pia nimeajiri. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Habari za jioni wana JF, Mwenzenu nina mtihaani ambao unanisumbua, Kuna binti mmoja niliwahi kuwa na mahusiano naye na mwishoni siku akaolewa, kutokana na mimi kutokuwa na mwelekeo wa maisha...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
MwanaJF, Lips hutoa tafsiri ya muundo wa mashavu ya mwandani. Mdada mwenye kissable lips ana mwandani mwenye mashavu makubwa. mashavu ya mwandani yakiwa makubwa huhamasisha sana jogoo kusimama...
10 Reactions
115 Replies
24K Views
2 Reactions
0 Replies
784 Views
Hivi sasa katika jamii yetu kuna kundi la wanawake ambao wana watoto lakini hawajaolewa lakini pia lipo kundi kubwa la wanawake ambao wako kwenye ndoa au mahusiano kwa muda mrefu lakini hawana...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Mfano wewe ni Derevawa Bodaboda umepigiwa simu kumfuata mteja Gest na wewe ukaenda maana ndiyo kazi yako, sasa ile unafika tu! Unakuta Mteja ni Mkeo, akiwa na jamaa Mlangoni wanatoka ndani ya...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
leo ni siku ya kutulia tuu geto kucheki movies and documentaries huku simu umeipiga pini tutaonana tarehe 27 usawa wenyewe wa anko magu huu
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila shaka mko poa! Kama ambavyo head inajieleza, unatumia muda kiasi gani ktk kuimarisha mahusiano yako na mwenzi wako? Binafsi natumia muda wa jion na asbh at least kwa saa moja kufanya mambo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…