Jambo gani la kukera hutoweza lisahau ambalo mkeo alikutamkia alipokuwa mjamzito? Share nasi!

habdul64

Senior Member
Dec 24, 2014
153
67
Habari wadau..
Wanawake wengi wanapokuwa wajawazito huwa na maudhi mengi, wakati mwingine huongea maneno yakukera na kukatisha tamaa ilimradi tu usumbufu..

Je kwa waliopitia maisha na mke mjamzito atuambie ni jambo gani na alifanyaje!
 
Mimi ilinitokea kwa MOTHER miaka ileee,
Alimiagiza maji ya kunywa nikamletea ,
Akayapokea kisha akanimwagia nayo usoni
Niliudhika sana.
 
Mie wangu kila aendapo,lazima abebe kikopo cha kutemea mate,na kisirani kila muda...viumbe hawa bhana tuwavumilie tu.
 
Back
Top Bottom