Wanawake wengi wanakosea sana hapo,tena hua wanachemsha wenyewe kwenye mahusiano afu wanaanza kutukana na kutoa vitisho,kama wanaume wote tungewavulia uvivu wangekua jela wengi sana,maana wanaume wengi huishia kutukanwa na kutishwa kwa njia za meseji kwenye simu.tatizo hili lipo sana kwa wanawake wa hapa kwetu Tanzania,nenda kamshitaki kama anatoa matusi ovyo,hatujalelewa kutukana tukana ovyo na kutishana tishana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.