Mapenzi hayaangalii nini ulichonacho

MAPOUDA

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
426
500
Muda mwingi huwa nafikiria sana na kujiuliza kwa nini mapenzi, nikiwaangalia wenye pesa wanaumia sana, na wasio kuwa nazo wanaumia sana.Bado najiuliza nin tatizo katika hilo.

NAPATA PICHA kumbe mapenzi si kile tu ulichonacho Bali ulivyonavyo

Kwanza uwe japo na pesa kidogo unaweza ukamiliki mwanamke yeyote umtakae.

Pili uwe mjuvi kitandani ujue kucheka na nyavu na uhakikishe mwenza wako anaenjoy vya kutosha mpaka kila wakati anakukumbuka

Tatu ujue kunyenyekea kubembeleza na pls hata kama kakosa wewe mpls tu nafs irizike moyoni anajua kakosea

Nne usiwe na mkono mwepesi kupiga, kuna wanawake hawapendi kupigwa bora umnyime pesa kuliko kumpiga

Tano na mwisho muda na kutoka outing mbalimbali

Kwahiyo ukikosa hivyo kati ya kimoja ni lazima alama ya usaliti itokee ana akatokea mtu anajua udhaifu basi lazima apite nae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom