Wakati Nasoma Stashahada Yangu Ya Kwanza

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,937
Wakati nasoma Stashahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi.

Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa.

Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harafu tunajitapa tunakijua kiswahili..,umekopi wapi mkuu?,nilishaiona hii mahali lakini nimepasahau.
 
Wakati nasoma Stashahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi.

Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa.

Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye Stashahada ya kwanza ndo sijaelewa kabisa.
kwani Stashahada ya pili huwa ni ipi mkuu?
 
Wakati nasoma Stashahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi.

Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa.

Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nijaribu baadhi ya maneno
kicharazio - keybord
nywila - password
kiteuzi - pointer
kipakatalishi - laptop

kWa kweli kiswahil ni kigumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom