mapara manne
Member
- Dec 27, 2016
- 10
- 9
Ndugu wana jf ninajitokeza kwenu nikiwa nafahamu mchango wenu wa mawazo.Leo hii nakuna na tatizo la kiafya,tatizo langu ni kuhusu kufika kileleni mapema ninapokutana na mwanake.Kiufupi hali imeninyima sana raha na kusababisha niwachukie wanawake wengi mno.Kila ninapokutana na mwanamke hunichukuwa kama dk 3 tu kufika kileleni na nikisha fika natumia mda wa masaa 4 adi 5 kuitaji tena,jamani naombeni ushauri nifanyeje nimeshajaribu kunywa madawa ya kienyeji lakini wapi au je ni upungufu wa nguvu za kiume.