Wanandoa wa kesho mmekuwa wavumilivu kila la heri wote

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
KAMA KUNA NDOA NAZIHESHIMU N NDOA ZA ZINAZOKWENDA KUFUNGWA KESHO

NDOA HIZI AIJALISHI NANI KAKOMAA SIINGI 2017 MPAKA NIOLEWE NACHOJUA MUNGU AKUPENDA MUONGIE 2017 MKIWA SINGLE... (HIINIKITHUNGUTU) MAANA WENGINS MNATOKA CHUMBA KIMOJA Kuelekea harusini.. Badoo nakuita jasiri wa ndoa

NAWATAKIA BARAKA NA UPENDO KWENYE NDOA ZENU LAANA ZA UKOO WA BABU BIBI SHANGAZI MJOMBA MAMA WALA BABA ZISIWAFWATE KABISA WALA KUPIGA HODI HNYMOON...

NAWATAKIA HAPPY NEW YR WANANDOA WOTEE KESHO UKIWEMO NA WEWE MWENZIO AMECHOMOA MWAKA
 

Attachments

  • wedding-wishes-for-sister-messageswedding-wishes-aniumnnv.gif
    wedding-wishes-for-sister-messageswedding-wishes-aniumnnv.gif
    84.6 KB · Views: 137
  • 3411-wedding-wishes.jpg
    3411-wedding-wishes.jpg
    17.8 KB · Views: 123
  • wedding-wishes-for-sister_21456_590_400.jpg
    wedding-wishes-for-sister_21456_590_400.jpg
    39.9 KB · Views: 66
Back
Top Bottom