kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,923
- 16,821
Yani kuna binti ananipenda sana na yuko tayari kufanya lolote lile coz of me but me hata simpendi kabisa cha kushangaza na mimi binti anaenidrive crazy hamfikii uzuri huyu nisiempenda kwa kweli nadiriki kusema sanaa ya mapenzi is very complicated coz umpendae hakupendi na akupendae humpendi.