Uhuru zaidi wa kula papuchi unahitajika kwa wanaume! Wanawake

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,104
Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa mada za jukwaa hili la MMU. Ni jukwaa la nne baada ya jukwaa la siasa, habari mchanganyiko na dini & imani. Nawasalimu wote humu na kuwapongeza kwa kutoa elimu nzuri sana ya mahusiano bila malipo wala kificho!!! Naamini siku haya majina ya bandia yakitolewa na serikali basi hii elimu itapotea


Nimeandika mada hii baada ya kusoma uzi wa dada galatia kuwa wanawake wanataka '' kutunyima '' sisi wanaume kama adhabu ya kutukomoa!! Kwanza ki Biology miili ya viumbe vya kiume imeumbwa hivyo na hormones zetu zinatutesa sana na kutupa matamanio makubwa kiasi kwamba mngejua basi mngekuwa na huruma sana na sisi wanaume!!! Na mngekuwa mnatupa tu.

Angalia jinsi kuku wanavyohangaika kukimbizana, angalia nzi wanavyopandana bila aibu kwenye meza zetu wakati tumekaa kifamilia na watoto wako hapo, sikiliza milio ya punda usiku, angalia jinsi paka wanavyotafutana, angalia faru John, wanyama wa porini kupitia documentary mbalimbali nk nk nk

Wanadamu tumejiwekea masharti magumu sana hasa kupitia imani zetu na tamaduni zetu. Na ndiyo maana uaminifu kwenye ndoa zetu ni 1% na uchepukaji ni 99%. Nilipata bahati ya kuhudhuria semina moja ya viongozi wa juu wa dini nikiwa kama mgeni mwalikwa kwa kweli ngono ilitamalaki!! Vyuoni ngono imetamalaki


Kwa ufupi tunakosea kujipa mipaka na masharti magumu sana kiasi hiki. Mi nafikiri uhuru zaidi uongezeke hasa kwa wanaume kwa sababu ya matamanio tuliyoumbwa nayo na pia testosterone jinsi ilivyo. Mwanaume asiye chepuka ana matatizo kwa kweli (kibamia, hawezi kumridhisha mwanamke, ugonjwa nk). Ila uhalisia ni kwamba sisi wanaume hatuwezi kukaa na mke mmoja bila kutamani, akina mama mtupe uhuru tugegede tu kwa sababu kiasili ndivyo tulivyo

Hebu akina mama jiulizeni ni kipi kinafanya mwanaume amwangalie mwanamke mwenye 'chura' kubwa??? Na anaweza kuangalia hata akiwa na mke wake........!!!!! Tuhurumieni na tupeni zaidi na zaidi, pia mipaka ya mke mmoja au wanne itolewe na kuwa na uhuru wa kugegeda zaidi na zaidi

Faida za uhuru huu ni kwamba punyeto kwa wote zitapungua (wanawake na wanaume) na pia hakutakuwa na cases nyingi za ndoa. Migogoro itapungua kwa kiasi kikubwa sana

galatia, Miss Natafuta na wanawake wengine ondoeni mawazo ya kuzuia papuchi zenu na ziachieni ili muwe huru na kuondoa kuteswa kwa nafsi zenu. Sisi wanaume ndivyo tulivyo kibaiolojia na kiasili. Angalia kwa viumbe vingine vya kiume kama faru John, jogoo nk utagundua ukweli wa jambo hili


Nawatakia heri ya mwaka mpya 2017 tuwe na afya njema ya uzazi ili tuweze kufaidi zaidi migegedo isiyo na mipaka

Ukweli mchungu usiyoongelewa na Wana harakati duniani


Nyakageni
 
Uhuru gani papuchi ya mkeo haikutoshi???

Hivi unajua mwanamke ukupiga papuchi mpaka iishe midadi unatumia muda gani???

Usijeona unashuka kwa mkeo unatupia viwili ukadhani katosheka huwezi jua mchepuko wake wenda umetupia sita mchana.
 
Uhuru gani papuchi ya mkeo haikutoshi???

Hivi unajua mwanamke ukupiga papuchi mpaka iishe midadi unatumia muda gani???

Usijeona unashuka kwa mkeo unatupia viwili ukadhani katosheka huwezi jua mchepuko wake wenda umetupia sita mchana.
Na reality ni kwamba kwa wanaume kilicho ndani ni tofauti na cha nje! Cha nje kitamu. Na kutamani na kutaka tusichonacho ni asili ya wanaume
 
Ni kweli mkuu ulichosema,you can't change nature .mfano mdogo kama umemuoa uliyenae kabla ya kukutana kimwili cku ya send off ulimgonga vingapi?je hadi leo unamgonga hivyo hvyo?maana yangu hapa kadri cku zinavyoenda mvuto wa kimapenz unazidi kupungua hadi kufikia mwanamke ulienae akivua ngua mbele yako huwezi kushituka,lkn kwann akitokea mwingine akavua nguo mbele yako au akaonyesha sehemu flan tu za mwili wake unashtuka jiulizen?mwisho wa cku hawa hawa wanawake wanaanza kulalamika kuwa una underperform na anaanza kutoka nje,wakati angekupa ruhusa ukawa na mwingine kwanza ungekuwa unapiga mechi kikamilifu na kumridhisha bcoz utakuwa na mazoezi ya kutosha sana,kifupi mwanaume mwenye wanawake wengi huwezi kumlinganisha kwenye game na mwanaume mwenye mwanamke mmoja,hata wao wanajua mwanaume mwenye wanawake wengi anapiga machine si mchezo
 
Ukitaka mkeo atoke nje kuwa nae yeye tu,na asipotoka tambua anakaa kwako kwa mateso sana,hata Baba wa imani alikuwa na wake watatu Sarah,Hajira na Ketula itakuwa mimi na wewe,you can't be serious mamako ndio mmoja lkn sio mke bana
 
Back
Top Bottom