Sijachanganyika sana na watu wa mataifa mengine hivyo sitaweza kuwaongelea hapa. Kwa kifupi sisi watanzania tuna urafiki wa kinafiki,tunampenda mtu au tunapendelea kuwa na urafiki na watu ambao...
Mke wangu wa ndoa ana mimba pili ni miezi minne kwa sasa, ananiambia vitu ambavyo mimba ya kwanza havikuwepo hata kidogo, mosi anasema siyo kusema tu anaonesha wazi wazi kuwa ananichukia vibaya...
Jamani ni jambo jema na la kuvutia kupata zawadi kutoka kwa umpendaye. Mimi nilipopata zawadi ya ua Rose kutoka kwa shemeji yenu niliwehuka, wewe ni zawadi gani uliyopewa na mpenzi au mwenza wako...
In my Poor Reseach nimeona kua many Woman 2nasuffer from a Lower Sex Drive,,..there can be many Causes dat contribute 2loss of Desire which include Illiness,,Injuries,,Stress,,Medication n...
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION
MAKING IN CRITICAL ISSUES.
Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la
Kutupwa, analala mtaroni kila siku, anafikishwa
nyumbani hajitambui kafikaje...
Kuna rafiki yangu anaishi iringa alizaliwa bila kumjua baba yake, ila baada ya yeye kua mkubwa mama yake aka mwambia baba yake anaitwa Filbert Nathaniel TOWO.
Sasa ombi lake anaomba kujua kua...
Hi wakuu,
Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA
Tarehe...
Naona kila ukifunua kurasa za JM siku hizi kelele mno kwa ma hausi geli. Mara oooo, wanavunja ndoa za watu, mara wanakuwa ni marupu rupu ya mabwana mwenye nyumba, mara.... yaani hata hawapewi...
Wadau salaam,kama tulivyoambiwa na mwalimu nyerere kuwa hakuna umaskini mbaya kama wa Ukabila!!sawa nakubaliana na mwalimu katika hilo ila linapokuja swala la Mahusiano ya kimapenzi na ndoa,basi...
Anza kusema HAPANA kwa vitu ambavyo vinakuzuia kufikia malengo na ndoto zako za maisha.
Matendo yanayokupotezea muda wako, marafiki wabaya, watu ambao maisha yao yanaweza kukupeleka pabaya...
Haya mapenzi ni kitu gani,yanawezakufikia hatua ya kuua watu,yakizidi uitwa mahaba nako wenye kuyaju wakasema 'mahaba Niue'
Kuna mapenzi ya mwanamke na mwanaume,ata mwanamke akipigwa kiasi cha...
Heri ya mwaka mpya wakuu
Hivi ni kwanini wanaume wengi tunaaminishana kuwa:-
◆ 1) Hakuna mwanamke bikra kabisa miaka hii, eti wengine wanadiriki kusema wanazaliwa bila bikra. Daaah!
~ Inamaana...
Ingekuwa wewe ungefanyaje, umeoa mke mna watoto wawili sasa lakini kila siri ya ndani unaikuta kwa majike raki zake. Pia unagundua wife hataki ndugu yeyote awatembelee. Mkipata mgeni yeye amani...
Juzi jumatano nilitoa mada hapa wenye kichwa USHAURI KWA MABINTI ikiwa na dhumuni la kuwaasa dada zetu kuwa na kauli nzuri kwa wanaume hasa pale wanapotongozwa na wanaume hao.
Niliwashauri...
Mwanamke kiumbe wa ajabu sana. Katika familia yao Baba dokta, Mama mwalimu wa msingi, kaka yake mhasibu benki na yeye mwalimu wa sekondari. Sasa namshangaa huyu dada kila siku anataka hela za...
Kwanza nawasalimu wote,
Kama mada inavyojieleza napenda kutoa ushauri huu kwa dada zetu.
Ukiwa msichana kutongozwa ni jambo la heri ila si lazima kila anayekutongoza umkubalie, bali inatakiwa...
Kipindi nikiwa likizo kijijini kwetu,nilikuwa na tabia ya kwenda matembezini vijiji vya jirani na mdogo wangu!
Usafiri wetu mahili ilikuwa ni baiskeli ya phonex tuliyokuwa nayo hapo nyumbani!
Kuna...
Kwa wanaume wote!
Ukitaka usisumbuke kabisa katika mahusiano, tafuta mwanamke uliyemzidi kuanzia 5 yrs na kuendelea!
Wanawake hukua haraka sana kimwili na kiakili, hivyo ukiwa na mliyelingana...