Ni tukio la kufedhehesha ila ndo hivyo maisha lazima yaendelee. Mchumba wangu kumpata mzungu kaondoka naye kwenda Ulaya licha ya kuwa nilishalipa mahari. Ilikuwa ngumu kuzoea hiyo hali ila ndo...
Kuna haka katabia unaweza kuwa na mtu wako(Mwanamke)eidha wa ndoa au mko kwenye mahusiano,Huwa wanatabia yakuja kusema mtu fulani kanitongoza !!
Huwa najiuliza Hivi mbona wale anaowakubalia Haji...
Copy&Paste.
Nimekaa nimewaza sana kuhusu mwanaume aliyejiua kisa Mwanamke aliyemfungulia duka na saloon nikajifunza mambo yafuatayo....
• Kuwa na mwanamke 1 tu eti ndo mwanamke wa maisha yako...
Baada ya kufunga ndoa Abdul alihama nyumbani kwao, alitafuta chumba mtaa wa pili dakika tano tu kutoka nyumbani kwao. Hii ilimfanya kuwa karibu na familia yake, mara kwa mara akitoka kazini...
Inawezekana wengine mliingia kwenye ndoa 'haraka, haraka' ili muanze zoezi la kupata uzao lakini mambo ndio yamegoma.
Kuna wengine wamekaa hata miaka kumi bila kupata mtoto kwenye ndoa hivyo...
Habari za J3 wapendwa
Leo hii nimepata kesi ya Anna, Anna ni mtoto wa kwanza katika familia yao, baba yake ni mwalimu mkuu wa shule huko kwao mkoa ninauhifadhi. Anna alifaulu darasa la saba na...
Hey there! Please if you are not a lady stay out.
Wadada wenzangu habari! Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaomba tuongee na kushauriana mambo yanayotuhusu sisi Wadada /wanawake.
Kumekuwa na...
Habari za jumapili wangu.
Naomba Tusaidiane mawazo ni kwa namna gani tunaweza kuwapatanisha ndugu hawa wadamu.
Nina rafiki yangu ambaye katika familia yao wamezaliwa wanne na yeye...
Bwana Chapati alikuwa classmate miaka hiyo, tulipata bahati ya kuonana jana kwenye sherehe ya harusi tukiwa wote kama wageni. Ilikuwa ni furaha kukutana na mtu mnaefahamiana na furaha inazidi...
Kuna mgeni tumekua nae kwetu kwa wiki sasa, wife alinieleza kuwa ni binadam yake mtoto wa shangazi yake, kiumri wana rika moja na wife.
Ukoo wa wife nawafahamu wote kule kijijini sasa madai ya...
Dunia imegeuka sana kwa kweli na wanawake wamekuwa katili sana kiasi kwamba hata kwenye familia imekuwa ngumu kuwaamini wanawake kwa sasa!
Nimekutana na picha kwenye mitandao zinaonyesha mwanaume...
Wanaume wengi tunapenda kufunga ndoa za gharama nafuu lakini wenza wetu ukiwapa mkakati huo wanageuka mbogo na kuwa wachungu kama shubili. Sasa ebu tuchukue somo kupitia vijana hawa kutoka nchini...
Jamani kuna mahali nimeiona hii naomba ku share nanyi, ingawa sina hakika na ukweli wake hasa mgawanyo wa hizo namba.
According to the New world population statistics, Population stands @7.8...
Wanasema Arusha ni mji wa wagumu na ndio maana una sifa ya kuwa na Wasanii wengi wanaofanya Hiphop lakini ugumu huo usiutegemee kwenye ndoa, Wanaume wa Arusha mwaka 2016 wameshindwa kuvumilia na...
Habari zenu wakuu,
Namheshimu sana mke wa mchungaji huyu ni jirani yangu tumepanga nyumba moja lakini mambo anayonifanyia hadi naona aibu, ndani ya nyumba hii ina public toilet ndani, anapenda...
Kuna habari hapa kuna dogo huko Tunduru mkoa wa Ruvuma umri miaka 11 amemkataa mama yake mzazi kwa madai ya kwamba ana mshurutisha sana, dogo alipopewa nafasi ya kujieleza mbele ya kikao rasmi cha...
Habari zenu ndugu na habari za hapa Jf,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri, ninatatizika. Miaka mitano iliyopita, niliajiriwa na ofisi fulani. Baada ya kuajiriwa, nilianzisha urafiki wa kimapenzi na...
Habari zenu wadau,
niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye nilikuwa sijui historia yake ya mahusiano na tayari tuko kwenye process za yeye kutoa mahari, mdogo wangu anayenifwata aliposikia ni...
Wakati mwingine siyo lazima wote tuchangie kila mada. Unakuta mada ya mwanaume anatafuta mpenzi/ mchumba au mwanamke anatafuta mchumba na katika bandiko lake ameweka umri na vigezo. Wewe unajijua...