yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,635
- 3,658
Ni wakati wa kuoa sasa umefika. Nimeamua kuchagua mmoja kati ya wengi wa zamani.
Nikiangalia list ya zamani ni ndefu, kiasi kwamba wote wakinipa mchango nitakuwa pazuri.
Lakini kabla sijawachangisha hawa wapenzi wangu wa zamani hawa, naomba msaada wa mawazo au ushauri. Je ni sahihi kuwatumia kadi za michango hawa wapenzi wa zamani?