2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,810
Nimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.

Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.

Nimekuwa nikisikia punyeto ina madhara, namshukuru Mungu sijapata hayo madhara maana jogoo wangu yupo imara na kina dada ninawapa dozi stahiki. Kama madhara basi ni kuchelewa kupiga bao kwakuwa nimezoea mkono mgumu lakini mbunye ni laini japo kwangu sioni kama ni madhara kwani imenifanya niwe namfikisha mpenzi wangu.

Baada ya hiyo miaka kumi (decade) ya Punyeto hivi sasa nasema bye bye Punyeto, hatutaonana tena. 2016 ni mwaka wa kuacha punyeto na 2017 ni mwaka wa kuoa.

Utawala huu wa Magufuli huko ofisini kwa moto hata hamu ya kupiga punyeto sina tena.

Mungu ni mwema
 
Last edited:
Kwa hiyo umeamua kuretire uanachama wa CHAPUTA.... mademu wakikuzingua usirudi tena chamani
 
Tabia ni kama ngozi.. ikikuganda huwezi acha.. labda utapunguza tu lakini siyo kuacha..
 
CHAPUTA kinaskitika kuondokewa na mwanachama wa muda mrefu na mkongwe bwana Nyosso Boko tunamtakia kila la kheri huko Aendako......
 
Maamuzi magumu hayo mkuu lakini ukidhamiria unaweza. Kuna mdau hapo juu kasema ipo siku utapiga halafu utajuta sanaaaaa, mi namuunga mkono. Take it from us.

Punyeto ni psychological behaviour or proble. Unahitaji kuhusisha imani yako ili uone hilo tendo ni dhambi, hii inaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom