Mkomawatu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 273
- 123
Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017.
Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja.
Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa ni kwamba ana kisirani na hasira za haraka hata kwa jambo dogo halafu baadae akitulia anasema alikuwa hajijui, pamoja na hilo nimemsisitiza suala la ndoa ila anasema hadi ajiandae
Pamoja na hayo yapo baadhi ya mambo ambayo yananifanya nishindwe kumuelewa dhamira ya uhusiano wetu na hatma yake.