Watoto wa kiume waruhusiwe mapema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa kiume waruhusiwe mapema?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Jun 27, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kuna tamthilia moja inaendelea sasa..moja ya mambo yaliyojitokeza
  ni la watoto wa kiume kutokuwa na ma girlfriend kwa mda mrefu
  mpaka wengine wameanza ku doubt jinsia zao.....
  na moja ya mbinu ambayo mamayao anaitumia ili kuwazuia watoto wake
  wasiwe sio rizki ni kuwaaagiza wasichana wafanye nao ngono kwa
  sana......

  swali ambalo nimekuwa najiuliza.je kuwalea watoto wa kiume katika maadili ya dini mfano
  na kuwazuia wasiwe free kukamata warembo kunaweza kuwapelekea
  wakawa ma shoga???????

  je wavulana wanaoanza mapema sex na wasichana,wanakuwa
  wako safe na suala hili la homosexual???????

  je ni kweli watoto wa kiume wasaidiwe kupata warembo mapema lets say
  akiwa na miaka kumi na nne hivi unamtafutia mwanamke....awe anamhudumia kwa
  ngono kama baadhi ya familia za kiarabu nimesikia wanafanya hivyo...
  wanawalipa ma house girl ili watoto wao wa kiume wahudumiwe?????????????????
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nakiri...this is avery bitter truth of which nina imani kila mwenye familia sasa hivi linamgusa kwa impact kubwa!...Binafsi najua kwamba siwezi kumtafutia mwanangu msichana katika umri usiokidhi, kisa naogopa asiwe rijali!...Lakini pia kuwazuia sana watoto (hasa wa kiume) haifai!. Cha msingi ni kuwaeleza bayana juu ya madhara ya zinaa. After all utawazuia vipi wakati wanaenda shule wenyewe, wakati mwingine boarding ambako hata haupo!...Nijuavyo mimi, ushoga hauji kwa kujengeka taratibu, bali ni tabia (hormonal) ambayo mtu husika anakuwa nayo tangu kuzaliwa, hivyo malezi ya kidini hayawezi kupelekea mtoto kuharibika.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi nafikiria kabisa kuwapa ruksa watoto wa kiume walete
  wanawake nyumbani ni sahihi.....kuanzia miaka 15 walete tu warembo mradi wafundishwe
  kutumia condoms.....

  but maybe i am wrong......
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  I wouldl be proud if my son brought home a girl....and she better not be ugly....
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ugly or no ugly
  ni bora uwe na mtoto anae enjoy female
  company....

  Labda hapa nikuulize
  mfano mtoto wako ana miaka 12 au 13...
  Umemkuta kaingia na msichana chumbani....
  Utafanyaje???????
  Utamwambia well done?????????
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kwanza itategemea huko chumbani wameingia kufanya nini. Lakini mimi kama mzazi mwajibikaji kwa kweli siwezi ku-condone kitu kama hicho. Kwanza kabisa policy ya nyumbani kangu ni open door policy. Kwa hiyo kama akileta rafiki wa kike nyumbani nitahakikisha wanaacha mlango wazi na kwa vile nyumba ni yangu ninazo haki zote za kuingia chumba chochote na kwa wakati wowote bila onyo wala taarifa ya awali.

  Having said that, kijana wako akishafikia umri wa kubalehe ni vyema mkakaa na kuyajadili mabadiliko yake ya kimwili na madhara na matokeo ya kufanya matusi ungali mdogo hivyo. Sasa akileta rafiki wa kike nyumbani, hiyo inaweza ikawa dalili njema au si njema. Kusema kwamba utafurahi kijana wako kupenda female company, kuwa mwangalifu. Watu wenye mwelekeo wa kupenda wapenzi wa jinsia moja, hususan wale wa kiume hupenda sana kujichanganya na wanawake. Wanakuwaga na mashosti wao wa kike na wanapenda mambo ya kike kike.
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Hii kitu huwa inaapply sana kwa watoto wa matajiri au viongozi.

  Fanya utafiti we kama ni mtoto wa uswazi ukakutwa na binti wa mtoto wa kigogo dingi lazma na pengine akakuletea vijana wake wa kazi wakufanyizie.
  Lakini kama we ni mtoto wa waziri afu unamtokea mtoto wa waziri utaona tu body languange ya mzazi wakike inavyokusapoti. Si ajabu ukaulizwa kama kazi yako iko full tank.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  umenikumbusha mbali na
  hiyo sentensi ya 'kufanya matusi'
  utotoni uswazi hiyo ilikuwa kesi
  kubwa sana....
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Haha mwenzio niliwahi kusutwa bana...nakumbuka mtaani kulikuwa na demu mmoja anaitwa Mariam...ndio alikuwa demu mzuri kushinda wote mtaani. Nikamfukuzia weee lakini wapi akanipiga kibuyu. Basi nikaanza kuwapiga fiksi watu kuwa demu nshammega. Si wanga wakaenda kumwambia bana...basi bana siku moja tunacheza mpira....nikamwona huyo anakuja na mashosti wake. Wakaniita pembeni kunisuta...'enhee we Ngabu nasikia unajipakazia kwa watu eti umenifanya mchezo mbaya eti mimi na wewe tumefanya matusi kwenye lile jumba bovu...huo mchezo mbaya ulinifanya lini?'....Mzee mzima nilimbuka na maneno nikaishiwa.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ha ha ha haa
  unajua uswazi ni shule ya aina fulani
  huwa nawasikitikia waliokosa kuzaliwa uswazi
  wengi tuna visa kama hivyo while growing up.....
  Mimi nakumbuka nilikamatia mrembo kwenye uwanja wa mpira usiku
  mtu mzima mmoja alituona akatufurumusha.....
  Huyo msichana alichapwasana wazazi wake...
  Now ni big lawyer ofisi moja hivi town
  tukikutana huwa tunabaki kucheka tu .....
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Aaaah babu uswazi kuna raha zake bana. Mimi nina kila kila experience ya uswazi...kuanzia kucheza mdundiko...mchiriku....kuhudhuria sherehe za kumtoa mwali.....kunywa togwa na mengineyo mengi
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  sasa kuna watu tulikua nao
  uswazi,wameenda nje wamerudi...
  Wanatafuta wapi wakapate togwa hawapati.....
  Siku hizi dar inakuwa very western.
  Watoto wengine hata kashata hawazijui
  mitoto inajua chocolate na burgers.......
  Haijui visheti,togwa,jelebi kashata na vingine tulivyokuwa navyo
   
 13. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  Well said indeed PakaJimmy! Nadhani RESEARCH ya nguvu inahitajika hapa kabla ya kufikia any conclusion. Kwa mfano, hapa tunaongelea watoto wa kiume, watoto wakike je? ni mzazi gani mwenye akili timamu ataridhia binti yake wa umri huohuo (14-16) kuanza kuchezewa mepema (wawe mitumba kabla hata ya kuanza maisha) ili kuhakikisha sexual orientation ya mvulana? Vinginevyo tuseme kwamba hao teen boys waletewe makaba yaliyokubuhu, suala ambalo nadhani itakuwa ni hasara zaidi kuliko faida.
  Na itakuwaje endapo CONDOMS hazikutumika? At the worst, they get pregnant, throw away their future, na kafaida ka STD (Sexually Transmission Deseases) including mzee AIDS hali ambayo itabadilisha mstakabali mzima wa maisha ya hawa watoto (wasichana na wavulana) kwa ujumla.
  Wahenga hawakukosea kuita NGONO mchezo wa baba na mama- ni mchezo wa wakubwa, na watoto wakivamia hii game kabla ya muda wao, basi madhara yake wakati mwingine huwa makubwa sana kisaikologia.
  Binafsi naamini kwamba watoto wengi ambao wamegeuka ubwabwa (sio riski) haswa kwa huko nyumbani hawageuzwi na mazingirai. Wakina anti Muddy, Ally n.k walikuwa hivyo tangu wadogo, walikuwa wanacheza na Barbies kama watoto wa kike badala ya kusakata Kabumbu na sio kwa sababu walikuwa hawana access na wasichana. Nililelewa nyumba moja na binamu yangu ambaye hakuwa rizki! Amini usiamini, hakuna chochote ambacho AUNT yangu (mama yake) angefanya kumbadilidha yule binamu yangu. Kila alichokuwa anafanya kilikuwa cha jinsia ya kike; alikuwa napenda kucheza na madoli, vipodozi, michezo ya kike, kushinda jikoni, na magroup yake yalikuwa ya wakinadada. Sidhani kama kuna kitu ambacho kingeweza kumbadilisha, hakuna.
  Kwa msingi hiyo, nadhani hili suala linahitaji utafiti wa hali ya juu kwani vijana wetu wanakasheshe kubwa sana inayowakabili. Siamini kwamba kuwaletea wasichana ndio suluhisho la hili tatizo. I might also be wrong....lakini we have to understand that if you do big boy things you get big boy results, na sina uhakika kwamba watoto wenye umri wa 14-16 wapo tayari kukabili matokeo ya underage sex.
   
 14. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,908
  Likes Received: 21,019
  Trophy Points: 280
  duh.......haya mambo ya uswazi yalikuwa matamu sana....unakumbuka KOMBOLELA??
   
 15. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 60
  we ngabu si ulisema zamani ulikuwa ukiishi upanga. tena ukasema ulikuwa dogo wa kwanza mtaani kwenu kuwa na BMX, sasa huko uswazi ni kwa nani? mmmh na upanga hakuna jumba bovu. labda yale maeneo ya jamatini. mimi mwenyewe nilikuwa naishi upanga maeneo ya muhimbili tulikuwa tunacheza keleee "silver oku" mitaa ya mindu.tulikuwa tukicheza na kina koku, sharifa jike dume, wengine siwakumbuki
   
 16. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Duh! hili neno la kufanya matusi umenikumbusha mbali sana, maana ilikuwa kama unataka kumsemea mtoto aliyefanya tendo la ndoa ukitaja lile neno la K*t*m**, ulikuwa unapewa kichapo kuwa umetukana.

  Kwa hili ninakubaliana na wewe mtoto wa kiume akipenda kuwa karibu na watoto wa kike ni dhahiri atajifunza kupaka poda na wanja kwani stori zote zitakuwa ni "femininity". Binanfsi kuna mtu namfahamu si riziki lakini marafiki zake ni wasichana tu.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Hahahhaaaa babu sikusema Upanga bana....nilisema Mwananyamala kisiwani. Au hudhani kuwa mtu wa Mwananyamala kisiwani hawezi kuwa wa kwanza kuwa na BMX mtaani?
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  what if your daughter does the same?
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  No comment
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  you are very wrong!!!!!!! check red, na kabinti kako kakuletee tu mirijali kama saba hivi na ukasisitize tu kuwavalisha comndoms??????

  We have our own traditions, we have to abide them. Mbona middle east, ASEAN regions and other countries in asia wanaweza?


  lat year pakistani had 67 HIV positive, na walipiga kelele sana kwa nini imekuwa 67 while they knew it was 66. Hapo hakuna suala la kusema ni dini yao ya uislam bali wanashikilia traditions zao. Hata sisi tunaweza tatizo letu ni kuiga vitu vya Ulaya na Marekani. Na hasa Hollywood life style ambayo ni ya kwenye sinema tu.
   
Loading...