mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Taarifa nilizopenyeshewa na daktari mgonjwa anapumulia ventilator ameshapata cardiorespiratory arrest mara mbili (moyo na mapafu yaligoma kufanya kazi zake ) ,na mke inasemekana ametokomea kusikojulikana mara tu baada ya mume kuifuma meseji likifuatiwa na tukio kuanguka ghafla huku akitokwa na damu puani na mdomoni