Wakuu wa jukwaa salamu!
Umefunga ndoa na mpenzi wako,
Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,
Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.
Je ungemsubiri bila...
Naamini hamjambo kabisa japokuwa maisha ngangari lakini tuna endelea kugangamala kiubishi.
Naomba kuwasilisha hii hoja ya kijamii inayoathiriwa sana na uchumi. Utakuta mwanaume anaolea ukweni...
Salama JF.,
Ikiwa leo ni siku ya Valentine nimerudi kutoka job naona mwili umechoka sana kama nina dalili za malaria.
Mpenzi wangu toka mchana nimempa taarifa kwamba sipo vizuri kiafya. Ila cha...
Habari kwenu,
Kweli moyo kichaka!
Nimepokea kwa masikitiko maelezo yenu na misimamo yenu ya tarehe ya leo toka kwenu wote, naamini hisia hizo ndio ukweli mliobeba mioyoni mwenu.
Nimegundua kumbe...
Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene...
Mimi nina miaka 27, muislam, nina bachelor degree natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na yuko tayari kuolewa na awe na sifa zifuatazo
awe muislam
awe na umri wa miaka 18-30
awe anaishi...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26.
Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
Jamani wengi wa wanawake japo sio wote wapo kwenye mahusiano na waume za watu na wamejikuta wakipokea misaada mbalimbali toka kwa waume za watu ikiwepo kodi za nyumba fremu na mitaji ya biashara...
Habari za Jumapili wana MMU,
Natumai mko vyema.
Naomba tuusiane wadada, wamama na wanawake wa humu na hata wasio humu kwa ujumla haswa kwenye suala la umri wa kuolewa.
Wapenzi kwa siye wenye...
Barua kwako mpenzi wangu
Mpenzi wangu,
Nikupendaye kwa dhati kutoka moyoni
mwangu,
Nakusalimia salamu ya huba iliyoambatana na
busu motomoto.
Mpenzi wangu nianze kwa kukushukuru sana
kwa barua...
Mashaka na mkewe wameishi katika ndoa kwa miaka 7 sasa. Wana watoto wawili na kila anayewaona nje anaamini ni familia yenye furaha. Kipindi wameoana walikuwa na maisha ya kati mpaka baadaye...
Waamini "uchumba sugu" umepitwa na wakati, fungeni ndoa Kanisani!
Agano la Ndoa, ambalo kwalo mume na mke huunda kati yao jumuiya ya ndani ya uzima na mapendo, limeanzishwa na kupewa sheria zake...
Nakerwa sana na uwepo wa hawa watu katika jamii kwani wamekuwa ni chanzo cha maasi mengi hapa duniani. Biashara hii haikuanza karne hii, ni biashara kongwe hapa duniani.
Kila binaadam anafahamu...
Ndugu zangu wa JF,
Mimi ni kidume cha miaka 24, Wazazi wangu wananishauri nikaukate mkono SWETA (govi) lkn mpenzi wangu ambaye ndio mke wangu mtarajiwa HATAKI niukate, anasema nikiukata...
Idadi ya watu duniani = 7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume = 2.2 billion
Kati ya wanaume 2.2 billion
1 billion wameshaoa tayari
Million 200 wapo jela na wengine machizi.
[emoji117]...
Haya madudu wanayofanyiwa baadhi ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu ya mapenzi na ambayo...
Taratibu na kwa hatua za madaha mrembo shani alinesanesa kuelekea klabu ya usiku ya POME night Club.Alitembea kwa kunyata bila wasiwasi huku akijua fika hakuna kinachomwangusha!
Naaam kwa urefu...
Habarini mabestito
HEBU TUANGALIE DALILI ZA MWANAMKE AMBAYE ANAKUPENDA KWA DHATI
KUJITOA KWA KILA HALI
Mwanamke anayekupenda kwa dhati, atajitoa kwako kwa kila hali. Unajua, kuna mambo ambayo...