Utafiti usio rasmi, unaonyesha kua Mwanaume akiwa mchepukaji hua kila anapochepuka anakua ana chaji zaidi.
Pindi anaporudi ndani ya boma anakua na nguvu mpya ya kutoa dozi safi na kuacha heshima...
Habari za J3 wapendwa
Nilikuwa msibani hivyo, nipeni pole, nilifiwa na shost.
Shost huyu anaitwa Jane, nilifanya nae mafundisho ya communion miaka ile, baba yake alikua capernter...
Habari zenu wakuu? Natumai mko poa sana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwambia nimependa kuwashirikisha katika hili jambo la kutafuta mwanamke humu ndani ambaye atakuwa...
Salamu wakuu
Ni muda sasa nimekuwa nikichunguza kwa upande wangu nimekuja gundua kwamba kuna wanawake ukijaribu kuchepuka nao mwisho wa siku hukuachia nuksi, gundu na mikosi kibao inaweza...
Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf...
Hi wakuu!
Niende moja kwa moja to the point
Mwanzo nilimsumbua sana hadi kuja kunipata, baada ya kuwa pamoja nikazama mzima mzima binti wa watu, dah Nishamuweka moyoni, i loved him every moment...
Wakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Baada ya masiku tele kupita, Leo nd'o naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa. Nasikia ukoo mzima umekusanyika huko, kuanzia akina babu, bibi...
Wadau hamjambo,
Hope mko vyema na Tanzania inaendelea vyema kabisa, Johanneburg iko safi japo Pretoria bado kinawaka moto kwa wasio wazawa.
TUJE KWENYE MADA;
Nikiwa napita pita baada ya...
Ikiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.
Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa...
Ukweli mchungu:
Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi.
Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake...
Do u know that marriage is the cheapest way of having sex? According to me. U pay 2m mahari once off and you stay with the woman for 20 years which is 240 months. Meaning per month its going to...
Hili swala linanishangaza saana. Sina lengo la kuwadhalilisha, kuwakashifu au kuwatukana mabinti.
Mabinti wengi wanajifanya expensive, wanawakataa watu kwa maneno tena ya dharau halafu wanakuja...
Ikitokea mwenza wako iwe mke/mume/mpenzi, akakuambia “sina feelings na wewe tena” hii ina maana anasema kwamba
“sikukupenda kama ulivyo, bali wakati nakuoa ama naolewa na wewe ama wakati...
Habari wakuu?
Nina masikitiko makubwa baada kulimwaga kojo kitandani kitu ambacho hakijawahi kunitokea. Kwa ufupi ni kuwa juzi juzi nikiwa nimeuchapa na my wife pembeni nikashtuka usingizini...
Kuna mama mmoja, ni mtu mzima ana watoto wakubwa tu, jana kaniambia mambo ambayo hata kumshauri siwezi. Mumewe anapenda kwenda casino na mama wa watu kampa ruksa siku hizo zote, so akawa anarudi...
Habarini za Jioni wanna if! Hope wote mkoa poa. Nisiwachoshe kama heading inavyosomeka kulingana na mipango yangu niliyo nayo siku za usoni ninatafuta female friends with ze following...
Natafuta aliye tayari kuolewa ila siwezi kukuoa leo, lazima nikufahamu zaidi na wewe unifahamu. Baada ya kila mtu kuridhika ndio tupange mikakati ya harusi.
Kiukweli mimi nina miaka 25 ila kwa...
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za...