James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Wadau hamjambo,
Hope mko vyema na Tanzania inaendelea vyema kabisa, Johanneburg iko safi japo Pretoria bado kinawaka moto kwa wasio wazawa.
TUJE KWENYE MADA;
Nikiwa napita pita baada ya kufikiria sana, changamoto zilizopo katika maswala ya ndoa na mahusiano, nilijaribu kupitia habari ya mfalme Suleman katika mstaafu wa bible, kitu kikubwa hapa ninachojiuliza kwanini mfalme Suleman alikuwa ana wake 700, tena mtumishi mwaminifu mbele za Mungu, je Mungu alisema lolote kuhusu kuwa na wanawake mia saba?
Je kwanini dini kama wakristo wanasema kuoa ni mke mmoja tu Tena kanisani? Kwani nikioa mia kanisani kuna nini? Kifungu gani katika biblia kinasema uwe na mke mmoja tu? Maana nimeona kifungu cha mwanzo cha uumbaji, Mungu alimuumba mwanamke kama msaidizi kwa mwanaume, kwa hivyo kama ukioa mwanamke mmoja na ukaona hana usaidizi mzuri kwanini usiongeze MWINGINE AONGEZE usaidizi, je hiki ndicho mfalme Suleman alichokiona? Je ni hakika mwanaume kuwa na mke mmoja bila mchepuko mpaka Kifo?
MASWALI MENGI LAKINI HEBU TULIJADILI HILI KWA PAMOJA TUFIKIRIE MBALI ZAIDI.
LOve u all
NAWASILISHA