Ukiwa unafanya haya usilalamike mkeo akikusaliti

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,644
11,166
Ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae hata akitongozwa na Sharobaro, Mzee Yussuf, Diamond hata Reginal Mengi.

Ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya pazia lako, ingawa wengi wetu tunasema hela na Gari vinawalainisha wanawake. Wengi waliosalitiwa basi hizi ndio kasoro zao:-

1 Kaowa mwanamke wa mtu (mwanamke alikuwa na mpenzi wake lakini jamaa kaingia wakati mwanamke anatamani ndoa)

2 Alikuwa na hela sasa kafulia hana kitu au alijifanya alikuwa na hela lakini baada ya kuowa mke anagutuka mume mchovu.

3 Humtoshelezi kwenye tendo la ndoa( humkojozi) kama umeowa mke ameshawahi kufikishwa kilima cha kilimanjaro pole yako fanya maujuzi umpeleke kilima cha Everest.

4 Ubahili hapa wengi wa wanaume ndio hupigiwa sana wake zao, mke anahitaji matumizi yake binafsi sio kula na kulala tu au kumnunulia madira na chocolate za kichina. kuna matozi wanahonga mpaka malaki na milioni halafu unawacha hela ya ugali unapikiwa pilau ukimaliza kula unakwenda kulala, bwege kama wewe lazima uchapiwe dadeki zako.

5 Huna muda wa maongezi na mkeo hujui hata nini anapenda,nini leo kimemkuta,wala huna future plan kwenye familia wewe ukali,mpira,vijiwe,kazi na marafiki tuu wakati rafiki yako wa kweli(mkeo) huna muda wa maongezi nae.

6 Kuwaachia marafiki kuzoweana sana na shemegi yao, sio kama vibaya kutaniana na shemegi yao lakini kuna mataani mengine hupitiliza. utakuta mpaka baadhi ya rafiki wanampigia simu shemegi yao wanaongea kwa masaa na vicheke kibao.

7 Kujifanya mkali kila wakati wewe uso umeukunja kama ngozi za pumb..u hujulikani kijana au mzee hujulikani leo umefurahi au umenuna. Tokea umuowe mkeo hujawahi kumtania hata siku moja.

8 Kuchepuka kuna baadhi ya wanaume walioowa nishawahi kuwauliza kwanini wanachepuka jibu lao kubwa wanasema hawajui. HUbaki kumalizia kusema eti hawa wanawake watakuwa na sumaku:D:D:D

Kuna baadhi ya mambo husababisha sisi wenyewe wake zetu kufikia kuchukua uamuzi wa kutusaliti, Kama ukali unafanya kazi mbona simba na ukali wake lakini kazungukwa na mabebez kibao. Sababu ya kuleta huu uzi kuna cousin yangu kaachwa na mkewe wamekuwa wapenzi tokea wakiwa wana miaka 15 mpaka sasa wapo kwenye 30s, miaka mitatu iliopita wameachana sasa mwaka huu aliekuwa mkewe anaolewa na mume mwengine cousin yangu kabakia na ujumbe kwenye avatar za whatapp tu. Kuomba radhi kwa makosa aliokuwa akimfanyia mkewe nilikuwa nikimuonya sana akibadilisha wanawake kila wakati, mwisho mkewe alikuja kujua nae alimpa tahadhari ya kuwacha kuchepuka hakusikia mwisho wake ndio sasa anajutia.

Fanya yote hayo halafu usiwe na ' HELA / PESA ' uone kama huyo Mpenzi wako au Mkeo ' hatokusaliti '. Mkuu nakushauri tu tafuta ' MONEY ' na Mapenzi yasitawale sana ' Mbichwa ' wako huo.
 
Halafu utamsikia mwingine analalamika mume wangu mpole kupita kiasi mpaka anakera. Huwezi kujua hata kama ndani ya nyumba kuna mwanaume lol! Ndoa kweli ndoana siku hizi ni bahati tu ya mume/mke kumpata mwenziwe watakaelewana, kupendana, kuheshimiana na kila wanapotofautiana hawanuniani bali hukaa chini pamoja kutafuta namna ya kumaliza tofauti zao kwa amani.

Acha tu

Hizi ndoa za siku hizi mpaka unajiuliza wapi hapakukaa sawa

Malalamiko mengi

Sijui ni wanandoa walikurupushwa au uvumilivu na maadili yamepungua au ndio kizazi cha mwendokasi hiki hakijielewi...
 
Fanya yote hayo halafu usiwe na ' HELA / PESA ' uone kama huyo Mpenzi wako au Mkeo ' hatokusaliti '. Mkuu nakushauri tu tafuta ' MONEY ' na Mapenzi yasitawale sana ' Mbichwa ' wako huo.
Bro kuna jamaa anafanya kazi BoT ana hela hatari, ana Nyumba 3, gari 6 na biashara kibao. Mwisho wa siku mkewe alikuwa anachukuliwa na jamaa mchovu hata gari hamiliki. Kama utaiangalia hio video utaona jamaa anavyojieleza hapo. Ana kazi mbili, Mercedes Benz, na anampa kila kitu wife wake hela sio kila kitu hio uwono wa masikini tu.
 
Acha tu

Hizi ndoa za siku hizi mpaka unajiuliza wapi hapakukaa sawa

Malalamiko mengi

Sijui ni wanandoa walikurupushwa au uvumilivu na maadili yamepungua au ndio kizazi cha mwendokasi hiki hakijielewi...
Mimi nadhani sababu kuu mwanaume hajiweki kama mwanaume kwenye nyumba yake. Pia huchangiwa na mwanaume kuwaachia mawifi kuingilia ndoa yake na mkewe. Mwanaume mzima hawezi hata kufanya uamuzi mpaka awaulize wazee, dada zake wengine huja hapa kuomba ushauri wa kitoto nini afanye baada ya kuwa na maamuzi yake mwenyewe.
 
Kama sinema vile mara wameoana kesho wameshatengana kila mtu na hamsini zake! Labda ni kuanguka kwa maadili na watu kutaka kuishi maisha ya kisanii. Unashangaa kuona watu wanavyoachana kwa sababu ambazo hazina uzito wowote ule na baadhi ya wazazi ndugu nao wanachangia sana kuziua ndoa. Ukilinganisha na enzi za wazazi wetu ambapo wazazi na ndugu walijitahidi kila namna kuwasuluhisha ili ndoa isivunjike.

Acha tu

Hizi ndoa za siku hizi mpaka unajiuliza wapi hapakukaa sawa

Malalamiko mengi

Sijui ni wanandoa walikurupushwa au uvumilivu na maadili yamepungua au ndio kizazi cha mwendokasi hiki hakijielewi...
 
Fanya yote hayo halafu usiwe na ' HELA / PESA ' uone kama huyo Mpenzi wako au Mkeo ' hatokusaliti '. Mkuu nakushauri tu tafuta ' MONEY ' na Mapenzi yasitawale sana ' Mbichwa ' wako huo.

"You will lose a lot of money chasing women, but you will never lose women chasing money"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom