Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,829
Ikiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.
Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa namshukuru?
Je nilishawahi kumpongeza kwa malezi ya watoto wetu?
Je nilishawahi kumletea zawadi na nikamwambia "hii ni mahususi kwa kuwa jana ulinipikia ugali mtamu?"
Wanawake wengi hupenda kujifunza kwa waume wao. Kabla haujenda kumshtaki mkeo, kwa mshenga, mzee wa kanisa, padri, shekhe, mchungaji askofu, n.k
Fanya haya niliyokuambia, maana MUNGU anakwenda kuiponya ndoa yako sasa.