raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 313
Hili swala linanishangaza saana. Sina lengo la kuwadhalilisha, kuwakashifu au kuwatukana mabinti.
Mabinti wengi wanajifanya expensive, wanawakataa watu kwa maneno tena ya dharau halafu wanakuja kulia lia kwenye mitandao. Wengine wamekosa utashi kabisa wanataka kuishi maisha ya kufikirika, wanaukataa uhalisia wa maisha. Inachekesha sana pale binti anapowaza kuolewa na gari, maisha ya kifahari na mambo mengine ya anasa. weekend hakuna kupika watu wanataka wakale bugger na piza, kisha waende cinema hall. Ndioa maana mabinti wengi wanaishia kulizwa kila kukicha wanabaki kujiita single mother, baada ya kujikuta wanaume walio nao ni waume za watu. Wengine wanaobahatika kupata ndoa hugeuka kuwa pili pili baada ya muda mfupi!
Kumbukeni maisha yanatafutwa, usitegemee sana mteremko katika maisha. Ukibahatika kupata mteremko sawa. Msithaminishe saana na kuweka hela mbele bali weka upendo mbele, kisha mkiingia kwenye ndoa basi mjitahidi kuwa creative na mjibidiishe katika kufanya kazi, huku mkimwomba MUNGU ipo siku mtafanikiwa. Acha kuwaza kuokota gari njiani...