BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Ikitokea mwenza wako iwe mke/mume/mpenzi, akakuambia “sina feelings na wewe tena” hii ina maana anasema kwamba
“sikukupenda kama ulivyo, bali wakati nakuoa ama naolewa na wewe ama wakati tunaanzisha mahusiano nilikupenda kwa sababu ulikuwa na sura nzuri na sasa umesinyaa usoni ndiyo maana sikupendi,nilikupenda kwa sababu ulikuwa na matiti mazuri na sasa yamelala ndiyo maana sikupendi, nilikupenda kwa sababu ulikuwa portable na sasa umenenepa kama elephant ndiyo maana sina feelings na wewe, nilikupenda sababu ulikua na kazi nzuri sasa hauna sikupendi tena, nilikupenda sababu ulikua unanisaidia shida mbalmbal sasa umeishiwa sikupendi tena, nilikupenda sababu ulikua na gari sasa gari huna sina feelings na wewe tena, nilikupenda sababu tulikua hatugombani sasa tunagombana sikupendi tena""
Ndugu yangu/zangu upendo wake ulikuwa na msingi wa feelings na circumstances na si commitment, hakuchagua kukupenda mwenza wake bali alijisikia kukupenda kutokana na sababu ambazo baadhi nimezitaja hapo juu...na si kuchagua kukupenda kama ulivyo.
Ni hayo tu kwa leo.