kyakakombo
Member
- Jun 7, 2013
- 36
- 34
Habari wakuu?
Nina masikitiko makubwa baada kulimwaga kojo kitandani kitu ambacho hakijawahi kunitokea. Kwa ufupi ni kuwa juzi juzi nikiwa nimeuchapa na my wife pembeni nikashtuka usingizini baada ya kaisikia kama nimelowana kujiangalia vizuri hamad! Nimo kwenye kojo la kutosha nimelimwaga, nikamwangalia wife ndo yuko mbali usingizini. Mtu mzima na 30+sijawahi kukutana na janga kama hili ikanibidi kwa upole nimwamshe nimweleze yaliyonikuta, namshukuru sana alinielewa na akanisadia kurekebisha hali.
Wanabodi kuna mtu yaliwahi kumkuta kama yangu au aniambie ilikuwaje maana hata pombe sinywi ningesingizia ulevi, sijui ni pepo au ni kawaida tu?
Fungukeni.