Enough is enough maskini moyo wangu

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
672
Hi wakuu!
Niende moja kwa moja to the point

Mwanzo nilimsumbua sana hadi kuja kunipata, baada ya kuwa pamoja nikazama mzima mzima binti wa watu, dah Nishamuweka moyoni, i loved him every moment.

Ghafla kachange toka last year mawasiliano yakapungua of coz tunaishi mbali mbali after two month or one ndo kuonana. Tumeenda had two days ago kaanzisha kiugomvi kisichokuwa na kichwa wala miguu. Nikahisi naonewa nikamjibu it was nice knowing you. maisha mema. Akajibu utanikumbuka sana

Ni wengi wanaonipenda lakini siko na feeling na hata mmoja wao.. ninakopenda sipendwi. Nimeamua kugive up na kumove on sasa. Nimefuta namba zake na block kila sehemu. Roho inauma sana of coz bado nampenda leo na kesho lakini simuhitaji tena

Hebu ukisoma hapa nipe japo neno la kunifariji maana siyo kwa maumivu haya
ukitukana pia poa tu.
 
Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya mwiba,huwezi kuelewa mpaka yakukute.Itakuumiza ila umefanya uamuzi sahihi kuamua kuendelea na maisha kuliko kuendelea kuishi na mtu anayekuumiza,surely utaumia ila iko siku maumivu yatakwisha na utasahau.
Kikubwa samehe tu,si kama alekukosea anafaa kusamehewa ama kwamba kosa lake linasameheka hapana ila ni kwa sababu moyoni mwako unahitaji amani na faraja mpya,na ni kwa kusamehe pekee.
 
yatakwisha japo moyo sijui upoje. hauelewi haraka
 
Back
Top Bottom