Mwanamume mchepukaji good for a woman

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,358
6,059
Utafiti usio rasmi, unaonyesha kua Mwanaume akiwa mchepukaji hua kila anapochepuka anakua ana chaji zaidi.

Pindi anaporudi ndani ya boma anakua na nguvu mpya ya kutoa dozi safi na kuacha heshima tofauti na yule ambaye hachepuki anategemea kula chakula cha ndani maisha yake yote. Mood humuisha na anashuka chaji.

Naombeni maoni yenu wakuu.
 
Sasa hapo inachaji vipi ka sio kumchosha mkeo kwa nguvu za kuazima
 
Back
Top Bottom