Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi Wanabodi, Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli. Hii hapa jionee mwenyewe.
3 Reactions
86 Replies
68K Views
Leo katika pita pita zangu instagram nkakutana na barua refu kama shuka la kikoloni kutoka kwa Faiza Ally mwanamke alioza na mbunge wambeya mjini Mbilinyi a.k.a Sugu. Akilalamika sugu kutomjali...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauliza tu je huyo mwanamke uliye muoa ni wa kwanza kutembea naye yani hujawai tembea na mwingine kabla yake kama sio je umeshatembea na wangapi?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Samahani waungwana,nimekua na kawaida ya kugegedana na baadhi ya wasichana/wanawake, mara nyingi wakati nafanya nao mapenzi hupiga kelele kuwa wanajisikia kukojoa, na mimi huwa nawaambia kojoa...
2 Reactions
151 Replies
34K Views
Ndugu wana JF, Kama mwezi uliopita nimenda kijijini kumsalimia baba na mama kwa bahati mbaya usiku mmoja hivi nilikuwa natoka nje kukojoa nilikuta mzee na bi mkubwa wakifanya yao sebuleni...
7 Reactions
93 Replies
18K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka. maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui...
36 Reactions
157 Replies
14K Views
Hello my buddies ,nimetafakari kwa umakini nikaona ni heri niwajulishe namna ya kupata warembo wa kizungu kwa wale wanaopenda white skin. Kuna website unayoingia ambayo ni free . Unaingia...
1 Reactions
33 Replies
12K Views
Hello members..I am 32 years old in Arusha..looking for a girl friend to chat and exchange ideas. If interested please check in my PM plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Kuna hilo jambo limekuwa likishika kasi kwa sasa hivi hususani kwa vijana ambao ni wajiriwa na wadada ambao ni wajiriwa Jambo lenyewe ni kuhusu kaingia katika ndoa, ukikuta...
4 Reactions
73 Replies
9K Views
Hapo nyuma nilikuwa nikiambiwa kuwa Wazee ni dawa na hazina hasa katika kutupatia Maarifa sisi Vijana na Wajukuu zao nilikuwa sitaki kuamini na kuna wakati hata nilikuwa nikimwona tu Mtu Mzee au...
16 Reactions
100 Replies
20K Views
Kama Una Mpenzi na hafiki Kileleni, na unajua hafiki, Je unafanya nini ili umpe raha hii ya Pekee?? Na wewe ambaye hujui hata kileleni ni wapi unadhani ni kituo cha Taxi Buguruni, hujui amefika au...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za J'mosi wandugu, Leo hii nimepata story ya shost Juliana, aliniaga anakwenda Marekani miaka mingi kidogo imepita. Shost alikuwa mjasirimali, alikuwa na saloon ya kutengeneza nywele...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina miaka 29, elimu yangu degree ni muajiriwa wa taasisi flani nahitaji mwanamke wa kuoa vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne atleast awe mwenye matokeo mazuri ili iwe rahisi kumuendeleza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Dada...take...position....nataka ....ke wa kukuoa,siyo mchepuko...aw tayari kuish Mkoa wa Songwe.0757658783.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za mda huu wana JF bila shaka mpo poa, Leo nimekuja na uzi mpya japo naisi yaweza kua chanzo cha uzi nilizowahi kuleta hapa karibuni. Niliwai kuingia kwenye mahusiano na dada mmoja alikuja...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Igweeeeeeeeee!!! Natumaini mu wazima wanaJF wenzangu. Ikiwa ni tofauti na hivyo basi Mungu awafanyie wepesi katika changamoto mnazopitia. Kumezuka tabia ya watu siku hizi kulazimisha mapenzi...
10 Reactions
100 Replies
10K Views
Habari wana JF, Moja kwa moja niende kwenye Mada, Husika katika miaka ya hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la wanaume kuanza kujipodoa sana ili tuu kuweza kuwavutia wanawake yani wamekosa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Tutafakari kidogo, Mara nyingi umuhimu wa kitu hujulikana pale kinapotoweka Ndugu zangu tutambue umuhimu wa kile tulicho nacho kwa sasa . katika maandiko matakatifu...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…